August 30, 2020

 


NYOTA Hassan Khamis Ramadhan Kessy, beki wa kulia amesajiliwa na Mtibwa Sugar akitokea kwa Mabingwa wa  Ligi Kuu ya Zambia msimu 2019/2020 Nkana Red Devils.


Kessy alikuwa kwenye rada za Yanga ambao walishindwana naye kwenye masuala ya makubalino jambo lililomfanya aibukie ndani ya Mtibwa Sugar akiwa ni mchezaji huru.

Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kutumika ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar wenye maskani yao Morogoro.


4 COMMENTS:

  1. tulidhani ataenda chezea timu iliyomsaliti dakika za mwisho...
    afadhali Yondani na Ngasa walitaarifiwa mapema

    ReplyDelete
  2. Amevuna alichopanda
    Yanga kama hawamjui vile

    ReplyDelete
  3. Analipwa hapahapa anafikiri mchezo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic