FT: Simba 2-0 Namungo
Zinaongezwa dakika 3
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 79 Kagere anaingia kuchukua nafasi ya Bocco
Dakika ya 77 Dilunga anakosa nafasi nje ya 18
Dakika ya 60 Bernard Morrison anafunga bao la pili kwa pasi Clatous Chama
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko
Dakika 2 zinaongezwa
Dakika ya 45 Namungo wanapata faulo baada ya Stephen Sey kuchezewa faulo na Kened Juma
Dakika ya 42 Simba wanapata kona ya Kwanza haizai matunda
Dakika ya 38 Namungo inakosa nafasi ya wazi baada ya Simba kujichanganya ndani ya 18
Dakika ya 34 Simba wanapeleka mashambulizi Namungo FC
Dakika ya 20 Morrison anampa pasi Chama ndani ya 18 inaokolewa na Nurdin Barola.
Dakika ya 15 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 9 Namungo wanapiga faulo kuelekea Simba
Dakika ya 7 Bocco Goal kwa penalti Dk 4Bocco anakosa nafasi ndani ya 18
Ngao ya Jamii
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Simba v Namungo FC
Kipindi cha kwanza
Simba 0-0
Morrison wa million 600! amechezea Simba kama akiwa bado kama wanavyidai wao eti ni mchezaji wa utopolo fc..na amefunga tena...watakereka sana
ReplyDeleteakiwa utopolo zaidi ya miezi 6 alifunga bao 2 na assist 2...huku katika mechi mbili kafunga bao 2 na assist moja na kasaidia penalt 1...wabishi utoplolo watabisha
ReplyDeleteSimba ndo baba Lao, utopo watatufuatia tu siku zote, malinzi wakuwabeba hayupo
ReplyDelete