August 30, 2020

 


Makipa

1.Metacha Mnata

2.Farouk Shikhalo

3.Ramadhan Kabwili

Mabeki 

4.Paul Godfrey

5.Kibwana Shomari ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar.

6.Yasin Mustafa ingizo jipya kutoka Polisi Tanzania.

7.Adeyun Saleh

8.Lamine Moro

9.Bakari Mwamnyeto ingizo jipya kutoka Coastal Union

10.Said Juma Makapu

11.Abdallah Shaibu ingizo jipya kutoka MFK ya Serbia


Viungo

12. Tonombe Mukoko ingizo jipya kutoka AS Vita.
 
13.Zawadi Mauya ingizo jipya kutoka Kagera Sugar.

14.Abdulaziz Makame

15.Feisal Salum

16.Haruna Niyonzima

17.Balama Mapinduzi

18.Deus Kaseke

19.Juma Mahadhi

20.Farid Mussa ingizo jipya kutoka CD Tennerife.

21.Tuisila Kisinda ingizo jipya kutoka AS Vita.

22.Benard Morisson ingizo jipya kutoka Klabu ya Yanga.

23.Carlos Carlinhos kutoka Interclub 

Washambuliji

24.Ditram Nchimbi

25.Adam Kiondo

26.Wazir Junior ingizo jipya kutoka Mbao FC

27.Yacouba Songne ingizo jipya kutoka Asante Kontoko.

28.Michael Sarpong

10 COMMENTS:

  1. Benard Morisson ingizo jipya kutoka Yanga? Mbona sielewi? Kama katoka Yanga atakuwaje kwenye orodha ya wachezaji wa Yanga?

    ReplyDelete
  2. Yanga bado akili zenu hinawaza kama mtoto mchanga benard xyo mchezaj wenu FIFA inatambua morrison mchezaj halali wa simba achen ushamba

    ReplyDelete
  3. Jamani kweli Hawa viongozi wetu wa awamu hii wapo timamu.Inaonesha sasa wanataka kufanya uadui na FIFA yenye kuheshimiwa duniani kote baada yaTFF ambayo maamuzi yake hakuna anayeweza kuyachalenji duniani isipokuwa inavoonesha ni Hawa viongozi wtu peke yao. Vituko hivi ni vipya Katika historia ya soka Tanzania zaidi ya miaka 80 iliyopita na ni sisi mashabiki tue wa kweli badala ya kubururwa na kuyapigia makofi. Ikowapi heshima yetu ukilinganisha na pale uongozi wa Manji nasi tumebakia mbumbumbu hatuoni wala hatusikii na waandishi pia wako mbele kutupeleka tusipokujuwa

    ReplyDelete
  4. Timu ya waandishi WA habari Morrison tunaye arusha Leo anaanza ufunguzi WA ligi

    ReplyDelete
  5. Na ghadhabu yake tutaiona pale atapovaana na Gongonje waliomtesa baada kuwa saini feki

    ReplyDelete
  6. Waandishi ndo wamekosea bwana, you react without thinking

    ReplyDelete
  7. Inabidi waandishi wapewe onyo kama la clouds wafungiwe maana hawachuji cha kuanfka

    ReplyDelete
  8. Hiyo list ya Muandishi lkn watu wanaitolea Povu, kunawatu vichwa vyao kama kondoo, kila kitu kulalamika, dada hapo uongozi wa Yanga unaingiaje?

    ReplyDelete
  9. Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza.... Kama hulijui Jambo kaa kimyaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic