August 26, 2020


 UONGOZI  wa Klabu ya Yanga, leo Agosti 26 umesema kuwa unamtafuta kocha mwingine atakayekuwa mbadala wa Cedric Kaze raia wa Burundi ambaye alikuwa kwenye mpango wa kuja hivi karibuni.

Kaze alikuwa anatarajiwa kuja ndani ya wiki hii kuchukua mikoba ya Luc Eymael raia wa Ubelgiji ambaye alifutwa kazi rasmi Julai 27 kutokana na vitendo vya ubaguzi.

 

Taarifa iliyotolewa imeeelza kuwa Kaze ameomba aongezewa wiki tatu mbele ndio awasili nchini jambo lililowafanya waamue  kumpata kocha mwingine kupitia barua ambazo zilitumwa na makocha kuhitaji kazi ndani ya Yanga.


Taarifa ipo hivi:-


11 COMMENTS:

  1. Simba mmetia mkono kweli Yanga tuna kazi

    ReplyDelete
  2. Tutampata mwengine mwenye kiwango kuzidi Seveni. Hawatuwezi

    ReplyDelete
  3. Kaona Yanga haina kiwango au sifa ya kuwa yeye ni kocha wao

    ReplyDelete
  4. Habari za kufurahisha leo timu yetu Yanga imeibambika African Sports timu ya daraja la pili mabao 2 kwa 1 ambapo wachezaji wapya wote isipokuwa mmoja walishiriki

    ReplyDelete
  5. Mwambusi wa nini? Kocha msaidizi angekuwa Said Maulid, ameshafanya mambo makubwa Yanga na viongozi wanajua. Angemsaidia pia Corlinhos kwa sababu anaongea kireno vizuri tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Bro. Mwambusi ameshafeli kwenye timu nyingi tu.

      Delete
  6. Taratibu mtani,usije sema tunanunua marefa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kawaida yenu, mwaka huu ndo kabisa na mababu zenu akina Onyango msipofanya hivo mtashika nafasi ya 4.

      Delete
    2. Mikia mwaka huu Mmeweka record ya kusajiri mchezaji wa miaka 40.

      Delete
  7. Kocha alisngalia mpira wa Simba na vitalo akaona pale utopolo atashisha cv

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic