Nyota wapya Yanga, Tuisila Kisinda na Tonombe Mukoko leo, Agosti 20 wamewasili rasmi ndani ya ardhi ya Tanzania.
Mapokezi ya nyota hao yameweka rekodi kwa mashabiki wengi wa Klabu ya Yanga kujitokeza kuwapokea.
Safari ilianzia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo huko shangwe lilikuwa la kutosha.
Kisha shangwe likatua mpaka makao makuu ya Yanga, mitaa ya Jangwani.
Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said alibebwa juu mithili ya mfalme kwa kuwa alihusika kwenye kukamilisha dili hilo.
Nyota hao wote wawili wamesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga ambayo inaendelea kuboresha kikosi chake baada ya kuwaacha nyota wake 16.
Pia wote walikuwa wanakipiga ndani ya Klabu ya AS Vita ya Congo moja ya klabu kubwa nchini Congo.
Antonio Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema kuwa lengo kubwa la Yanga ni kujenga klabu bora yenye ushindani na inayovutia.
Minyenyekeo kama hiyo ndiyo inayowapa kiburi wachezaji halafu wakakudharauni na mwisho mkaanza kuzomeana
ReplyDeleteHivi inakera?
DeletePole sana wewe limkia la fisi, naona unaumia sana. Utakufa kwa stress, na bado!!
DeleteWe utakuwa si mzima kichwani wenye stress kati ya simba na yanga nina nani mi kila siku nasema yule kocha wenu Luc Eymael aliwaona kabisa akili zenu nyie sio nzuri ndio mana akawafananisha na yule mnyama, na mtu akikwambia akili zako kama mshabiki wa Yanga pigana
DeleteMsije kusema na hao pia wamehongwa.
ReplyDeletePamoja sana wananchi kikubwa watupigie tu mpira wa maana.
ReplyDeleteNaona wanatazama chaka la mnyama sasa sijui walikuwa wanajiuliza nini!!
ReplyDeleteMsije kusema na hao pia wamehongwa.
ReplyDeleteNa Kuanza kuzomewa
ReplyDeleteSimba mlomkopesha timu ana heshima, Mimi nadhani wivu Morrison mlisema hivyo matokeo yake tumeyaona,sasa hawa miaka miwili kweli chondechonde Salehe zile makala na mazoea ya Wachezaji wetu hatutaki andika Simba yako
ReplyDeleteNa bado mutaumia sana madera fc
ReplyDeleteYani kweli nyie manyani sasa kati ya Simba na Yanga anaeumia mpaka sasa hivi ni nani, msilazimishe furaha wakati moyoni mna majonzi
DeleteKupokelea kwa mbwembwe siyo ndo mafanikio, tunasubiri uwanjani
ReplyDeleteKwani bila mbeleko za marefa hata hiZo tambo si hakuna?mna Timu nzuri lkn hongo za nini?
ReplyDeleteHongo amepewa nani hivi nyinyi kichwani washabiki zipo kweli, mi naona mtakuwa hamnazo, hv kati ya simba na Yanga kwenye nchi hii ni nani anayeeongoza kwa kubebwa ukweli upo wazi kuwa Yanga amebebwa sana nchi hii ushahidi ni kwa kuangalia timu hizi zinaposhiriki michuano ya kimataifa nani aliyepata mafanikio zaidi ya mwenzke
DeleteNaona wanachojipanga nacho sasa ni kununua mechi na kutafuta dawa za kupulizia vyumbani. Hawana jinsi wachezaji wao akina Chama, Boko, Nyoni ni wazee lazima wachina iwe ndio wale.
DeleteWazee wa simba ni noma wanampiga mtu 4G mpaka wanaenda kukopa wachezaji Kongo ili kupunguza idadi ya magoli eti Kisinda kwani tarehe kumi 18 mbali, hao wamezenu AS VIta si mliwaaambia simba huwa wanapulizia dawa wakakataa kungia vyumbani wakavaa Barakoa kilichotokea wote tunakijua "This is Simba" mama we utajuta kwa nini baba yako alikurithisha kushabikia utopolo
DeleteJana tumemuona Sultan Said Seyyid akiwa amebwebwa juu juu alafu utasikia eti Yanga ndo imeleta uhuru kumbe wao ndo walikuwa wanashiriana na waarabu kunyanyasa Waafrika teh teh teh teh
ReplyDeleteNa bado tulieni hivo hivo kimya dawa iwaingie Mikia. Sarpong anaingia leo
Delete