January 14, 2020

16 COMMENTS:

  1. Khaji Manara baada ya mechi ya Yanga aliyaona yanakuja haya ila watu wengi naamini akiwemo baadhi ya wachezaji wa Simba akamuona Manara labda ni mtu wa porojo tu. Wachezaji wa Simba labda tuseme kwa upande wa wachezaji wazawa wanashindwa kuonesha hadhi yakuwa mchezaji wa Simba. Simba ya sasa sio jina tu tukija upande wa maslahi bali ni timu inayolipa vizuri wachezaji ila inaonekana wachezaji wa Simba wanashindwa kujitofautisha uwanjani na mchezaji anaechecheza bure pale Yanga au ndanda au mchezaji anaelipwa mshahara wa mwezi mmoja kwa mamshahara wa siku moja wa mchezaji wa Simba. Ila wale wanaofurahi kuwa Mo kaondoka Simba? Hamjamuelewa au mnapotosha kwa makusudi. Mo yupo sana Simba ila hafurahishwi na kazi ya kikosi kilichopo sasa pale Simba. Anaona hakifanyi kazi kulingana na gharama kubwa zinazotumika kuwahudumia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi umeelewa nini alipotanabaisha kuwa atawekeza nguvu zake kwenye miundo mbinu na kukuza vijana!!!kwa mtazamo wangu suala la timu ya wakubwa litabaki kwa wanachama na yeye atakuwa na jukumu la kuzalisha vipaji maana ameona hakuna faida wala furaha kwenye timu anayoigharamia kwa kila kitu halafu inatoa matokeo hasi

      Delete
  2. Hapo ndo timu kuyumba maana uwekezajii ni xaw lkn anajambo lk

    ReplyDelete
  3. Mo mnafiki tu,kwanza aweke hiyo bilion 20 km alivyoahidi,mzinguaji tu anatafuta njia tu ya kutokea,kutumia pesa nyingi haimaanishi timu haitofungwa

    ReplyDelete
  4. Tatizo sio wachezaji Bali ni viongozi. Walishindwa kusajili wachezaji wa maana. Walifukuza kocha bila kusema sababu za msingi. Matokeo take kocha mgeni anapanga kikosi cha ndondo kwenye fainali.

    ReplyDelete
  5. Breaking news manara kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda,atamaliza mpakatarehe 1/4/2020 saa sita mchana,hongera Sana brother,mungu akupe Nini?

    ReplyDelete
  6. Kuna mambo ya kurejea nyuma hadi kufika hali hii. Moja ya makosa makubwa kabisa yaliyofanyika ni kuacha wachezaji bora walioifikisha simba robo fainali CAF mwaka jana. Okwi, Gian, Kotei, Niyonzima na Koulibaly ni miongoni mwa mastaa wa kimataifa walioipeleka simba huko. Inakuwaje kwa timu ambayo ilikuwa haijafika hatua hiyo kwa miaka inaamua kuacha wachezaji muhimu bila maelezo ya msingi. kama ni mishahara ilitakiwa wawaongeze. Barcelona wanalipa sana kwa Messi ili kupata matokeo. Wakasajili upya wacezaji wasio na viwango na timu imeyumba.

    ReplyDelete
  7. Niambie Haji Manara, hivi mmeona wapi huko Ulaya timu inabadilisha wachezaji zaidi ya sita ndani ya msimu mmoja. HAYA YANAFANYIKA BONGO TU tena kwa Simba na yanga. Hao waliotufunga Mtibwa mmesikia dirisha dogo hili wanasajili?. wana kikosi ambacho wamekaa nacho muda mrefu na kinajua cha kufanya. Yaleyale na kule Yanga, ona dirisha dogo timu inasajili zaidi ya wachezaji 5 hivi mko makini kweli?

    ReplyDelete
  8. Niliwahi kusema mm ni mwanachama kuwa mo atashindwa hata ufanye nini watu hawana shukurani

    ReplyDelete
  9. Hizi timu za simba Yanga ni shida sana kwani zimejaa wapigaji wanaotufanya ss hatujui michezo yao haiwezekani timu inafika robofainal champions ligi afu wanabadili timu kwa kuuza wachezaji tegemeo. Unasajili mtu wa matazamio kama sio ten percent ni nn. Malengo yao yamefanikiwa hata mo akiondoka kwao tayari wamevuna.

    ReplyDelete
  10. Mbona amekanusha au alikuwa anacheza na akili zetu?

    ReplyDelete
  11. makosa ya Simba yalianza tangu wanaamua kuingia kwenye uwekezaji kwa sababu walimtengenezea mo mazingira hawakutaka kushindanisha watu kwanza walianza kuchukua pesa zake kwa ajili ya usajili na shuguri nyingine huku wakiendelea na mchakato wa kubadirisha timu ni wazi mchakato ho ungefanywa kwa umakini simba ingepata mwekezaji ambaye angetoa ofa nzuri lakini mafanikio ya muda mfupi yamewafumba macho.

    Moja ya sababu ya Nkwabi kujiuzulu ni tabia ya Mo kkutoa vijembe kwenye twitter badala ya kutumia njia rasmi matokeo yake akawa anamjengea uadui na wanachama na wapenzi wa simba kuwa anamkwamisha lakini sasa hivi Nkwabi yupo nje ya Simba nani anayemkwamisha kama sio hao waliokuwa wanamletea maneno kuwa Nkabi sio mtu mzuri.

    Mo amechaguliwa na board kuwa mwenyekiti kwanini anakimbilia twitter badala ya kuwafata bodi na kuwaeleza nia yake ya kujiuzulu.

    Simba sasa hivi ipo katika hatua nzuri kwa sababu ina ceo ambaye ana uwezo wa kuipeleka mbele cha muhimu wampe nafasi

    Ule Uwanja waingie ubia na kampuni kama emirates badala ya kuupa jina la mo huku hawaambulii kitu vinginevyo wasipobadirika Simba itaingia kwenye matatizo makubwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic