August 17, 2020

 

KIKOSI cha Simba leo Agosti 11, Jumatatu, kinatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21.


Pia itakuwa ni maandalizi kuelekea kilele cha Simba day ambacho itakuwa ni Agosti 23, Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Uhuru.


Uwanja wa Mkapa itapigwa mechi na timu ambayo itatambulishwa leo na Uwanja wa Uhuru itafungwa 'Big Screen ' kwa ajili ya mashabiki kutazama mechi yao.


Miongoni mwa matukio ambayo yameshafanywa kabla ya kilele cha Simba day ni pamoja na suala la kufanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi, kufanya dua, kutambulisha wachezaji wapya.

7 COMMENTS:

  1. Mnaona mambo hayo Gongowazi. Mbona kwenu kimya au ndio mnamshugulikia Morrison Kwanza na mengine baadaeh

    ReplyDelete
    Replies
    1. We K nini?Yanga wameanza mazoezi wiki ya pili sasa unafikiri wanasubiri huruma ya Karia kama nyie!

      Delete
    2. Teh teh teh mazoezi na kocha wa viungo

      Delete
    3. Et huruma ya Karia mtabakia hivyo hivo mara TFF wanaibeba Simba , mara pale Yanga hamna wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Yanga kila mnapogusa pamoto mpira sio maneno mpira vitendo pussty wa mwisho

      Delete
  2. This is Simba and not nyanilization

    ReplyDelete
  3. Simba walimaliza msimu baada ya Utopolo kwa kucheza fainali ya FA. Hivyo wachezaji wake walihitaji mapumziko ya ziada. Kwa sababu ya chuki zako na mentality ya kuonewa laxims utafute sababu. Wakati bado hata hamjamaliza usajili eti wachezaji wanafanya mazoezi?Kocha mkuu hayupo!Halafu mkifeli ohh tumeonewa na viongozi wenu wanawaingizia vichwani inferiority complex na nyie bila kufikiri mnawafuata.
    Mlikusanyika klabuni kwenu kwa Nugaz kuwaaminisha mmeshinda shauri la Morisson. Mkapagawa na kupiga makelele.
    GSM wanafanya usajili au ni hao viongozi wenu wasio na sauti.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic