August 28, 2020

11 COMMENTS:

  1. hahahahahaha utopolo wanasubiri wanaume wafanye nao waige hatar

    ReplyDelete
  2. utopolo bhana wanasubiri wanaume wafanye ndo nao wafanye hahahahah yule mzungu ajakosea kwa kweli....

    ReplyDelete
  3. Ni aibu tupu. Hawana chao kipya, akiondosha mguu Mnyama na wao pale pale. Mnyama kachapa sita na nyie fanyeni hayohayo. Pia nidham za mashabiki wa Simba pia muige

    ReplyDelete
  4. Na siku hiyo nzuri ya kuzungusha bakuli na wala msimuonee haya kocha mpya kama ndio kweli atakuja

    ReplyDelete
  5. Wazee wa shanga bhana!!!!yaani hata uwezo wa kufikiri wamemkabidhi MO.Aliyetua na chopper ni Harmonize na wala si kiongozi wala mchezaji wa Yanga lakini nyie mnakurupuka na kubwabwaja hovyo

    ReplyDelete
  6. Utopolo hongereni kumuiga mine wenu mnyama akichokifanya. Imeandikwa mwanamke amtii mmewa maana ndo kuchwa. Hamna jioya utopolo poleni.

    ReplyDelete
  7. Wakikusema sana ujue umewaiingia hasa, haya endeleeni kuisema yanga

    ReplyDelete
  8. Hivi Simba ndio wa kwanza kuingia na chopa viwanjani?

    ReplyDelete
  9. Kandambili aka vyura aka GONGOWAZI aka utoporo hawana jipya zaidi ya kuiga huyo mmakonde anaimbaa nini angeimba nyimbo zao za unyago labda ujinga mtupu

    ReplyDelete
  10. Wewe unafanyia mtoko wenzio wanabebea nyasi, ndiyo maana yake mikia muelewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haah haaah haaah.....hawajaelewa hilo tusi la harmonize hao ndezi.....ni sawaswa na suti mwenyewe unaiona ya maana unaivaa siku ya mitoko maalum mwenzio anaivaa anapokwenda shamba kulima.........asante harmonize,umewatukana kisomi hao mikia.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic