Hivi Ndivyo Helicopter Iliyombeba Msanii @harmonize_tz Ilivyoshuka Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Na Kukagua Jukwaa Kwa Ajili Ya Tamasha La Yanga Day Litakalofanyika Siku Ya Jumapili Tarehe 30 Mwezi Huu.
Hivi Ndivyo Helicopter Iliyombeba Msanii @harmonize_tz Ilivyoshuka Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Na Kukagua Jukwaa Kwa Ajili Ya Tamasha La Yanga Day Litakalofanyika Siku Ya Jumapili Tarehe 30 Mwezi Huu.
hahahahahaha utopolo wanasubiri wanaume wafanye nao waige hatar
ReplyDeleteutopolo bhana wanasubiri wanaume wafanye ndo nao wafanye hahahahah yule mzungu ajakosea kwa kweli....
ReplyDeleteNi aibu tupu. Hawana chao kipya, akiondosha mguu Mnyama na wao pale pale. Mnyama kachapa sita na nyie fanyeni hayohayo. Pia nidham za mashabiki wa Simba pia muige
ReplyDeleteNa siku hiyo nzuri ya kuzungusha bakuli na wala msimuonee haya kocha mpya kama ndio kweli atakuja
ReplyDeleteWazee wa shanga bhana!!!!yaani hata uwezo wa kufikiri wamemkabidhi MO.Aliyetua na chopper ni Harmonize na wala si kiongozi wala mchezaji wa Yanga lakini nyie mnakurupuka na kubwabwaja hovyo
ReplyDeleteUtopolo hongereni kumuiga mine wenu mnyama akichokifanya. Imeandikwa mwanamke amtii mmewa maana ndo kuchwa. Hamna jioya utopolo poleni.
ReplyDeleteWakikusema sana ujue umewaiingia hasa, haya endeleeni kuisema yanga
ReplyDeleteHivi Simba ndio wa kwanza kuingia na chopa viwanjani?
ReplyDeleteKandambili aka vyura aka GONGOWAZI aka utoporo hawana jipya zaidi ya kuiga huyo mmakonde anaimbaa nini angeimba nyimbo zao za unyago labda ujinga mtupu
ReplyDeleteWewe unafanyia mtoko wenzio wanabebea nyasi, ndiyo maana yake mikia muelewe
ReplyDeleteHaah haaah haaah.....hawajaelewa hilo tusi la harmonize hao ndezi.....ni sawaswa na suti mwenyewe unaiona ya maana unaivaa siku ya mitoko maalum mwenzio anaivaa anapokwenda shamba kulima.........asante harmonize,umewatukana kisomi hao mikia.
Delete