September 3, 2020

 


KAGERA Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeongeza wachezaji nane wapya wakati wa dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na kufungwa Agosti 31.


Mchezo wake wa kwanza kwa msimu wa 2020/21 itakuwa ni dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba, hawa hapa nyota wake:-

Abdalah Mfuko beki kutoka KMC

Ally Nasoro kutoka Mbeya yeye ni kiungo.

Mbaraka Yusuph yeye ni mshambuliaji kutoka Azam FC.

Hassan Mwaterema kutoka JKT Tanzania yeye ni mshambuliaji.

Sadat Mohamed akitokea Ruvu Shooting yeye ni winga.

 Vitalis Mayanga kutoka Ndanda FC yeye ni mshambuliaji.

 Ally Mtoni kutoka Yanga yeye ni beki.

Mohamed Ibrahim, Mo Ibra yeye ni kiungo mshambuliaji kutoka Simba alikuwa anakipiga Namungo FC kwa mkopo.

7 COMMENTS:

  1. Mr Blog owner why u always refer Dar Young African images as preferences to arise ideas,u might be acceptable professional bt also negativity and bias daring to acquire your idiology as the nature illustrate our minds naturally (Simba or Yanga counts) regardless our professional ethics.Nawasilisha kaka

    ReplyDelete
  2. Picha mchezaji wa Simba Mo Ibrahim

    ReplyDelete
  3. Nilisema mwandishi mnazi WA Yanga mpaka inakera Magazet yake title za Yanga zinakuwa kubwa za simba za kumulika na tochi.Ona picha ya mchezaji WA simba title Yanga.

    ReplyDelete
  4. inakera kwa kweli...hebu fungua ukurasa wa blog hii uhesabu picha za Yanga vichwa vya habari ya Yanga ndio vinaongoza...hadi 16 kwa 10 vya Simba...Hata ikitokea pale Simba ikicheza na timu zenye jezi za kijani na njani...hata kama habari kwa kiasi kikubwa ni kuhusu Simba itapostiwa hiyo jezi nyingine.

    Morisson hivi sasa anavaa jezi nyekundu...lakini hii blog ikiandika kuhusu Morrison anawekwa kwenye picha zake za zamani akiwa Yanga..Hadi hukumu ya TFF ikipinduliwa hukumu halalini ya kuwa Morrison hana mkataba na Yanga

    ReplyDelete
  5. Fungueni na nyie blog zenu ambazo hamtatumia Yanga. Me namshauri aendelee hivo hivo ili muendelee kuzisoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanalalamika lkn huyo saleh jembe ni mkia mwenzao lkn anachoangalia yy ni biashara.timu ipi inauza sn Habari yke.ss km anandika gazet anaisifia simba n gazet haliuzik aendelee tu kisa mnazi?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic