September 6, 2020

 JANA Septemba 5 baada ya uongozi wa Simba kumtangaza Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo kuwa Barbara Gonzalez kuliibuka mvurugano mkubwa wa maneno ya hoja kwenye mitandao ya kijamii kati ya mheshimiwa Hamisi Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji suala kubwa likiwa ni vigezo vya kumpata mrithi huyo wa Senzo Mbatha ambaye yupo Yanga.


Pia Kingwangala aligusia ishu ya bilioni 20 ambapo anaeleza kuwa kwa mujibu wa katiba muda wa kuweka fedha hizo umekwisha na hakuna kinachoendelea na mwisho alimaliza kwa kusema kuwa ameambiwa aache hivyo hataendelea tena kuzungumzia masuala ya uwekezaji. 


Hizi hapa baadhi ya jumbe zao ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi:-






7 COMMENTS:

  1. Pesa ndio kila kitu, maranyingi asie na pesa hawezi kuonekana kama anahoja, mwisho wa siku namba hazidanganyi...

    ReplyDelete
  2. Kumbe imekuuma hukukopeshwa pikipiki

    ReplyDelete
  3. Pikipiki tu ulishindwa kununuwa ulitaka ukopeshwe then usilipe ndio imekuuma sana unatowa maneno nenda huko kaombe kura upate kula yako na familia yako achana na MO taifa kubwa hilo ww hata maji ya kandoro huwezi kuwanunulia wachezaji

    ReplyDelete
  4. MPIRA NI PESA KINACHOTAKIWA NI SUBIRA MO FANYA KAZI HATA MAANDIKO YANAONYESHA WAPINGAJI WALIKWEPO CHA MSINGI MABO YA NAKWENDA

    ReplyDelete
  5. MPIRA NI PESA KINACHOTAKIWA NI SUBIRA MO FANYA KAZI HATA MAANDIKO YANAONYESHA WAPINGAJI WALIKWEPO CHA MSINGI MABO YA NAKWENDA

    ReplyDelete
  6. Hso ni mahasidi wana ajenda za ovu wanataka kuirejesha Simba ile miaka ya ufukara na unyonge. Maendeleo ya kila aina Bila ya kuyataja yameletwa na Moo na imefika hadi yale mazuri yanaigwa kwengineko. Eti wanamtaka Moo asepe lakini Moo Mungu akitaka atabaki kwa miaka mingi ijayo azidi kungara na kuingarisha timu na kulipaza juu jina la nchi yetu,

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic