October 7, 2020


 

ULE mchezo wa dabi kati ya Yanga na Simba ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki umepelekwa mbele na Bodi ya Ligi Tanzania hivyo itapigwa Novemba 7.


Mechi hiyo mpaka sasa ilikuwa inahesabu siku 11 kabla ya watani hao wa jadi kukutana na tayari Yanga ilishaingia kambini jana, Oktoba 6 kuanza maandalizi.


Taarifa rasmi iliyotolewa leo na Bodi ya Ligi Tanzania imetajasababu kuwa ni pamoja vikwazo kwa usafiri kwa wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa kutokana na Janga la Virusi vya Corona.


Taarifa hii hapa:-


BREAKING: Mechi ya Yanga v Simba yapelekwa mbele

14 COMMENTS:

  1. Niliskia mapema eti simba wanaogopa tarehe yenye 8, mfano trh 8,18 na 28 mana lazima tarehe hz wafungwe, so ndio wakatafuta vishingizio vya kua et wachezaji wake watachalewa kurud gemu ibadilishwe trh, mana ukisema wachezaji wa timu mbili co kweli, yanga hawana mchezaji alie safiri, TFF ni simba kila walitakalo simba BC ndio litafanyika! Ila hizi timu za urithi ni pasua kichwa. Zinatuvurugia ligi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata kabla ya hapo Yanga waliomba mechi isogezwe mbele kocha hajaja na bado wachezaji wa timu hawajazoeana

      Delete
  2. Upuuzi mtupu!!!!!!Namna hii ndo tunajiaminisha kuwa soka letu litapiga hatua.Mnaweza kutupa idadi ya wachezaji wa Simba na Yanga walioitwa kwenye timu zao za taifa na kujua ni wangapi ili kuipa nguvu hoja yenu?Badala ya kuitwa TFF inastahili kuitwa KICHEFUCHEFU

    ReplyDelete
  3. Na zaidi wameona YAnga hawajapewa yellow Card wanataka wazipange card so walisema Wana kikosi kipana?

    ReplyDelete
  4. Tumekuwa tukisema Simba kama CCM Yanga Sasa hivi Kama Tundu Lissu tunashambuliwa kila pembe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahahahahahahahah!!!!!!!!! Tupe mgawanyo nani ni polisi,nani ni tume ya uchaguzi,nani ni TISS

      Delete
  5. Replies
    1. Waliokuwa wanatafuta muunganiko wameomba mechi isogezwe mbele la sivyo hawatapiga kura

      Delete
    2. Ndo ujue nini maana ya "Wananchi"

      Delete
  6. Bodi ya ligi (tume ya Uchaguzi),Tff (shirikali)Polisi (Simba) na TIss(vyombo vya Habari)

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic