KIKOSI CHA SIMBA VS MWADUI LEO UWANJA WA UHURU SIMBA VS MWADUI: Hapa ndimba la Uhuru Dar es Salaam, hakuna konakona, mambo ni shwari kuelekea mchezo wa kati ya mabingwa watetezi, Simba SC dhidi ya Mwadui FC.
Lazima mtu apigwe 5 leo
ReplyDelete