LEO Oktoba 11 timu ya Taifa ya Tanzania itajitupa uwanjani saa 10:00 kukipiga dhidi ya Burundi mchezo wa kirafiki ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Hiki hapa kikosi kitakachoanza dhidi ya ya Burundi namna hii:-
KIKOSI cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Burundi, Uwanja wa Mkapa
kikosi kizuri sana kocha nimepend eneo la midfield zaidi
ReplyDeleteKikosi kizuri wachezaji wajitoe na kuonyeSha thamani ya kuanza
ReplyDeleteHamna kitu hapo tupo nyumban tunaweka viungo wakabaji wote nan atatutengenezea pasi za magori ss
ReplyDelete