October 11, 2020

 


FT: Tanzania 0-1 Tanzania 
Dakika ya 87, Mzamiru Yassin anaingia anatoka Fei Toto 
Dakika ya 85 Goal Burundi Said Ntaziborane
Dakika ya 76 Jonas Mkude anaonyeshwa kadi ya njano ya pili na kuonyeshwa kadi nyekundu kwa kuwa alikuwa na kadi mbili za njano
Dakika ya 72 Bigirimama anaotea
Dakika ya 69 Samatta anapeleka mashambulizi Burundi 
Dakika ya 63 Naldo anatoka anaingia Nchimbi 
Dakika ya 61 Mohamed Hamis anatoka anaingia Bigirimama Blaise 
Dakika ya 57 Ndemla nje anaingia Sure Boy 
Dakika 57 Naldo anapiga offtarget ya pili
Dakika ya 50 Msuva anapiga shuti inagonga mwamba kwa pasi ya Naldo
Dakika ya 49 Burundi wanapiga shuti la Kwanza linalolenga lango linaokolewa na Kissu
Dakika ya 46 Kissu anaokoa hatari
Kipindi cha pili kimeanza 

Mapumziko:- Tanzania 0-0 Burundi 
Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 39 Steven wa Burundi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Fei Toto 
Dakika ya 36 Sebo anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 35 Kapombe anapiga faulo haileti matunda 
Dakika 33 Nimbuma wa Rwanda aonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 32 Ndemla anapiga kona ya pili
Dakika ya 30 Fei Toto anafanya jaribio nje ya 18 halizai matunda
Mapumziko kidogo kwa ajili ya maji
Dakika ya 21Naldo anamwaga kwa Samatta anasukumwa mwamuzi anapeta
Dakika ya 20 Burundi wanapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 16 Samatta anafanya jaribio kwa kichwa linakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 15 Msuva anaotea 
Dakika ya 13 Kissu anapeleka mashambulizi Burundi
Dakika ya 11 Naldo anachezewa faulo mwamuzi anapeta
Dakika ya 6 Burundi wanafanya jaribio linalenga nje ya lango
Dakika ya 6 Naldo anafanya jaribio halileti matokeo
Dakika 5 Samatta anafanya jaribio halileti matokeo
Uwanja wa Mkapa

Oktoba 11

Kipindi cha Kwanza 

 Tanzania 0-0 Burundi 


Mchezo wa kirafiki

7 COMMENTS:

  1. African lyon wangecheza vizuri kuliko Taifa ndayiragje

    ReplyDelete
  2. Hamna shughuli hapo utopolo tu,game hupo hm unaweka viungo wakabaji wote unategea kupata magori kweli?

    ReplyDelete
  3. Hamna shughuli hapo utopolo tu,game hupo hm unaweka viungo wakabaji wote unategea kupata magori kweli?

    ReplyDelete
  4. Duh haya ndio hivyo tena, tunazidi kushuka viwango vya fifa, tatizo lipo wapi

    ReplyDelete
  5. Duh haya ndio hivyo tena, tunazidi kushuka viwango vya fifa, tatizo lipo wapi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic