October 30, 2020

 


LEO Oktoba 30 safari ya mzunguko wa tisa wa Ligi Kuu Bara unaendelea ndani ya Bongo ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.


Gwambina  iliyo nafasi ya 12 na pointi 9 v KMC iliyo nafasi ya 8 na pointi 10, Uwanja wa Gwambina Complex, saa 10;00 jioni.

Azam FC iliyo nafasi ya kwanza na pointi 21 v JKT Tanzania,iliyo nafasi ya 15 na pointi 8 Uwanja wa Azam Complex, saa 1:00 usiku. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic