October 21, 2020

 


NYOTA wa zamani wa Klabu ya Yanga, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21.


Molinga alikuwa anacheza ndani ya Yanga msimu wa 2019/20 na alikuwa ni kinara wa utupiaji kwenye kikosi hicho zama za Luc Eymael. 


Mchezo wake wa mwisho Uwanja wa Samora, Iringa alipachika bao lake la 11 na kuifanya Lipuli FC kupoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara jumlajumla na sasa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza. 


Wote wawili waliohusika kwenye ushindi wa kuifunga Lipuli ikiwa ni pamoja na Mrisho Ngassa wote waliachwa na timu hiyo.

2 COMMENTS:

  1. Hivi ni kweli bongo wachezaji wanapigwa misumari?

    ReplyDelete
  2. Kule moro, walimpiga shabiki mmoja, nasikia alienda kumpiga mtu msumary

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic