October 31, 2020


 LEO Oktoba 31 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi ambapo mechi nne zitachezwa kwa timu nane kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.


Tanzania Prisons v Polisi Tanzania, Uwanja wa Nelson Mandela, saa 8:00 mchana

Namungo FC v Dodoma Jiji, Uwanja wa Majaliwa, saa 10:00 jioni.

Biashara United v Yanga, Uwanja wa Karume, saa 10:00 jioni.

Simba v Mwadui,saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru.


7 COMMENTS:

  1. M i k i a fc na leo mnapigwa kimoja Tu kama kawaida yenu

    ReplyDelete
  2. Mwandishi nae fyatu yanga hatuchezi leo 2nacheza tareh 1 mwezi wa 11 mwaka 2020 saa 10:00 jion uwanja wa karume

    ReplyDelete
  3. Ww Jackson unamatatzo,,yanga anacheza leo

    ReplyDelete
  4. Ikiwa hakuna jinsi furahi tu kakini sio vyema kuchekana ligi ni safari refu kwa kasi ya azam ulitegemea kinachoendelea sasa

    ReplyDelete
  5. Baadaye wataanza kulalama Simba anabebwa. Tumewazoea Utopolo. Ligi ni marathon sio sprint.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic