LEO Novemba 2 ulimwengu wa Ligi Kuu Bara unaendelea ambapo mchezo mmoja utachezwa kwa timu mbili kusaka pointi tatu ndani ya uwanja.
Uwanja wa Sokoine dakika 90 za moto nyasi zitawaka kwa kushuhudia miguu ya wanaume 22 wakipambana kuonyeshana umwamba.
Mbeya City ambayo imecheza jumla ya mechi 8 na kujikusanyia jumla ya pointi 5 inawakaribisha Ihefu FC ambao wamecheza jumla ya mechi 8 na kujikusanyia pointi 4 kibindoni.
0 COMMENTS:
Post a Comment