Clatous Chota Chama ameitwa kwenye timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo baada ya mchezaji mmoja anayecheza Afrika ya Kusini juwa kwenye karantini kutokana janga la virusi vya Korona
Magazeti yetu haya, ikumbukwe tu kuwa simba walipita engi wazuri wamchukue chama waende nae. Simba wataleta mwingine. Aliondoka Okwi akaja Kahata, Dickson, Mugalu, Kagere. Lary Bwalya. All in all this how life of footbal is. Ikiwa kama yanga wanaamini wakimpata chama watapata kila taji wanajidanganya. Chama katika utawala wa Sven amefanikiwa sana kwa sababu Sven alimjua chama kabla hajaja simba, na anaijua style ya mpira wake. Je Yanga wanamtaka Chama yupo katika mifumo ya kocha? ....SWALI HILI LITAJIBIWA ONCE CHAMA ATAKAPOTUA YANGA NA AKIWA NA UZI WA GSM
Aende anakotaka tena angeamua mapema hii hii ili asiendelee kuhujumu timu kwa hongo za GSM. Wachezaji wa Simba wapo vizuri tu na ligi bado sana wakipambana watakuwa mabingwa tena. Ila wapambane Chama akiwa nje ya uwanja vinginevyo akiwa ndani ataharibu mapambano kwa faida ya hao wanaompa kiburi.
Kama anania na utopolo mwache aende akajute Kama wenzake wakarudi kuomba msamaha wakarejeshwa kwenye team ya wanaume Kama Okwi,Ajib,Kaseja n yeye Kama anataka kwenda aende tu wengine nao waonekane. Siyo kuihujumu klabu aendoke kwa amani Kama Okwi na akirudi kwa amani.
Clatous Chota Chama ameitwa kwenye timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo baada ya mchezaji mmoja anayecheza Afrika ya Kusini juwa kwenye karantini kutokana janga la virusi vya Korona
ReplyDeleteMagazeti yetu haya, ikumbukwe tu kuwa simba walipita engi wazuri wamchukue chama waende nae. Simba wataleta mwingine. Aliondoka Okwi akaja Kahata, Dickson, Mugalu, Kagere. Lary Bwalya. All in all this how life of footbal is. Ikiwa kama yanga wanaamini wakimpata chama watapata kila taji wanajidanganya. Chama katika utawala wa Sven amefanikiwa sana kwa sababu Sven alimjua chama kabla hajaja simba, na anaijua style ya mpira wake. Je Yanga wanamtaka Chama yupo katika mifumo ya kocha? ....SWALI HILI LITAJIBIWA ONCE CHAMA ATAKAPOTUA YANGA NA AKIWA NA UZI WA GSM
DeleteAende anakotaka tena angeamua mapema hii hii ili asiendelee kuhujumu timu kwa hongo za GSM. Wachezaji wa Simba wapo vizuri tu na ligi bado sana wakipambana watakuwa mabingwa tena. Ila wapambane Chama akiwa nje ya uwanja vinginevyo akiwa ndani ataharibu mapambano kwa faida ya hao wanaompa kiburi.
ReplyDeleteMchezaji wa simba huyo bosi wa yanga anamhusu nini kama sio kiherehere. Kama wameelewana na chama wasubiri muda wamchukue
ReplyDeleteKama anania na utopolo mwache aende akajute Kama wenzake wakarudi kuomba msamaha wakarejeshwa kwenye team ya wanaume Kama Okwi,Ajib,Kaseja n yeye Kama anataka kwenda aende tu wengine nao waonekane. Siyo kuihujumu klabu aendoke kwa amani Kama Okwi na akirudi kwa amani.
ReplyDeleteMikia povuuu
ReplyDeletembona mapovu mengi mkiguswa kidogo shida...msilete hadithi za sungura sizitaki mbichi hizi wakati mna umia...Simba kalowaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMshachuwa kwn mpaka unabwabwaja hivyo ww mtopolo, Morrison tulimbeba kwavitendo nasasa anakipiga msimbazi. Makamu went alibwabwaja akaishia kuchutama ishu ya Chama.
Delete