Wenye hiyo taasisi baada ya kuona Mo kaenda kukutana na wabunge wanaonekana kuanza kuweweseka.Lengo la kucheleweshwa shauri la simba sio kutafuta mshindani wa uwekezaji au uteuzi wa CEO mpya ndani ya simba bali lengo lilikuwa ni kuizuia simba kufanya mabadiliko ya kimaendeleo nadhani kwa manufaa ya wala rushwa fulani wakati wanachama wenyewe wa simba walisharidhia mabadiliko ya kuitawala ndani ya klabu yao.
Nafikiri MO amefanya vizuri kufikisha ujumbe huo kupitia Kwa wabunge.Imeshakuwa kero Kwa MO kila kukicha anaulizwa mzigo ataweka lini na kuonekana kama uwekezaji wake ni fake.Ni swala la kujiuliza kulikoni leo hawo FCC watoe waraka huo baada ya MO kuwajulisha wabunge wanaoshabikia Simba?Kwa nini FCC hawajawahi kutoa tamko kujibu matamko yaliyo waliyowahi kutolewa huko nyuma na MO na wenzake wakurugenzi kwenye bodi ya kuwa mchakato umekwamia FCC?..Ingawa sina jawabu Kwa asilimia Mia lakini nahisi kuna jambo lilojificha ndani ya FCC.Ndio mambo kama haya ya ukiriktimba ktk uwekezaji yamemfanya muheshimiwa Rais kuhamishia kitengo cha uwezekaji kwenda Ikulu.Issue ya kutekelezwa ndani ya mwezi mmoja inapeleka kuchukua miaka 3.Tujitathimini.
Wenye hiyo taasisi baada ya kuona Mo kaenda kukutana na wabunge wanaonekana kuanza kuweweseka.Lengo la kucheleweshwa shauri la simba sio kutafuta mshindani wa uwekezaji au uteuzi wa CEO mpya ndani ya simba bali lengo lilikuwa ni kuizuia simba kufanya mabadiliko ya kimaendeleo nadhani kwa manufaa ya wala rushwa fulani wakati wanachama wenyewe wa simba walisharidhia mabadiliko ya kuitawala ndani ya klabu yao.
ReplyDeleteKUNA MKONO WA MTU HAPO, ILA BAHATI MBAYA HUYO MTU ANAPOTEZA MUDA WAKE, SERIKALI NA SHERIA ZA MPIRA HAVIENDANI
ReplyDeleteNafikiri MO amefanya vizuri kufikisha ujumbe huo kupitia Kwa wabunge.Imeshakuwa kero Kwa MO kila kukicha anaulizwa mzigo ataweka lini na kuonekana kama uwekezaji wake ni fake.Ni swala la kujiuliza kulikoni leo hawo FCC watoe waraka huo baada ya MO kuwajulisha wabunge wanaoshabikia Simba?Kwa nini FCC hawajawahi kutoa tamko kujibu matamko yaliyo waliyowahi kutolewa huko nyuma na MO na wenzake wakurugenzi kwenye bodi ya kuwa mchakato umekwamia FCC?..Ingawa sina jawabu Kwa asilimia Mia lakini nahisi kuna jambo lilojificha ndani ya FCC.Ndio mambo kama haya ya ukiriktimba ktk uwekezaji yamemfanya muheshimiwa Rais kuhamishia kitengo cha uwezekaji kwenda Ikulu.Issue ya kutekelezwa ndani ya mwezi mmoja inapeleka kuchukua miaka 3.Tujitathimini.
ReplyDelete