November 9, 2020


BAADA ya kumaliza Dar Dabi, Uwanja wa Mkapa Novemba 7 kwa sasa maisha ya wachezaji wa Yanga yapo Uturuki ambapo wameweka kambi ya siku tatu.


Stars chini ya Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon dhidi ya Tunisia.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba, 13, nchini Tunisia na nyota saba wa Yanga wamejumuishwa ndani ya kikosi hicho.


Uwanja wa Mkapa ngoma ilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 na hawa hapa nyita wa Yanga wapo ndani ya kikosi cha Stars:-Metacha Mnata, Deus Kaseke, Bakari Mwamnyeto, Abdallah Shaibu (Ninja), Ditram Nchimbi, Feisal Salum na Farid Mussa wote wa Yanga.



1 COMMENTS:

  1. Ina maana hao wachezaji wa Yanga wana kambi ya peke yao japo inaratibiwa na kocha wa Taifa Stars! Uandishi wa hovyo kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic