December 22, 2020



CARLOS Carlinhos raia wa Angola mwenye uwezo wa kupiga mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Yanga huenda akatolewa kwa mkopo ama akaachwa Jumlajumla ndani ya kikosi hicho.

Habari zinaeleza kuwa kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara ni sababu ya nyota huyo kuwekwa kando kwa kuwa ameshaondolewa kwenye mfumo.

Muangola huyo anasumbuliwa na majeraha ya nyonga ambayo aliyapata alipokuwa mazoezini jambo.

Hakuwa kwenye kikosi kilichoshinda mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji na hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Ihefu kesho,Desemba 23 Uwanja wa Sokoine.

Hassan Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga kuhusu suala hilo amesema kuwa kwa sasa wanajiendesha kidijidatal hivyo kila kitu kitawekwa kwenye mitandao yao.

Yanga ikiwa imetupia jumla ya mabao 25 amehusika kwenye mabao manne, amefunga mawili na ana pasi mbili za mabao.

14 COMMENTS:

  1. Huyu tangu alivyokuja wengi tulijua hakuna kitu pamoja na kuimbiwa mapambio kibao kiukweli pale hakuna mchezaji. Ni bora waachane nae tuu maana hakuna dalili za yeye kuwasaidia zaidi ya kupoteza gharama za kumtunza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu mtu kahusika katika goli nne tena ktk hayo mechi mbili msaada wake ndio uliipa points 3 muhimu bado unasema hamna kitu dah mpe heshima yake basi na mpe pole kwa majeraha kukatili kipaji chake

      Delete
    2. Tunampa pole kwa majeraha. Ila kaseke ni bora sana kuliko huyu jamaa. Na tanzania final wengi.

      Delete
  2. Waandish hawana jipya na kila kukicha wanapika habar tu ndicho wanachokijua

    ReplyDelete
  3. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe, jamaa ni mzuri sema tatzo watanzania tunapenda mafanikio ya mpira kwa haraka.mimi naishabikia Yanga, angalia wenzetu Simba walilazimika kuwa na Subira ya kuwa na wachezaji kwa miaka mitatu mfululizo na mafanikio waliyoyapata ni matokeo ya Subira.
    Tusipomvumilia na kumpa tiba sahihi tutawaacha wangapi?
    Mimi nakubali uwezo wake sema kutocheza ligi ya kwao muda mrefu kumemsababishia majeruhi ya mara kwa mara.

    ReplyDelete
  4. Wa Tz tuweni waungwana, huyu mchezaji hajapenda kuwa majeruhi, Sasa kuumbwa kwake isiwe ndio sababu ya kumtoathamani yake, dogo anaonekana ni mchezaji mzuri sema majeruhi ndio sababu ya kutocheza, lkn hata Yanga wskimuuza sio dhambi kwasababu ni Win Win situation, kila upande unataka faida bila kupoteza

    ReplyDelete
  5. Haya ni maneno ya waandishi wasio na weledi na klabu ya Yanga haijatoa tamko kuhusu kumuacha au kumtoa kwa mkopo Calinyos.

    ReplyDelete
  6. waseme ukweli tu ameshindwa kula ubwabwa kila siku na chips duuu tz noma

    ReplyDelete
  7. huyu mchezaji ni mzur sema hakuwa na mechi fitnes kwa alilazimika acheze kwa garama yoyote ili viongoei wafurahishe mashabiki wao ndo maana tukisema utopolo mavi yamejaa kivhwa muwe mnaelewa

    ReplyDelete
  8. Shombeshombe alipokelewa kwa mbwembwe, leo garasa

    ReplyDelete
  9. Msituingilie ! Hatumuachi na aendi popote kwa mkopo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic