SASA ni rasmi kuwa Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze imetinga hatua ya nne bila kuingia ndani ya uwanja kusaka ushindi ndani ya dakika 90.
Yanga ilipaswa kuchezwa na Klabu ya Singida United ambayo ilikuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza, Desemba 26 kutokana na timu hiyo kushushwa madaraja mawili sambamba na matokeo yake kufutwa mchezo huo hautachezwa.
Adhabu hiyo kwa Singida United imetokana na timu hiyo kushindwa kutokea uwanjani kwenye mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya Alliance FC.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) leo Desemba 24 imesema:"Kufuatia Klabu ya Singida United kushushwa madaraja mawili, mchezo wa Azam Sports Federation (ASFC) namba 65 kati ya Young Africans v Singida United uliokua uchezwe Jumamosi Desemba 26, 2020 hautakuwepo,.
"Hivyo Young Africans sasa wanasubiri kucheza raundi ya nne 2021," .
Mbeleko inawapeleka utopolo mbele,utakuta nayo yanga kama singida huko mbeleni utasikia"YANGA YADODA FA" yaani unabebwa hubebeki
ReplyDeleteKwani yanga ndio waliwaambia singida isiingie uwanjani?,kachekiwe akili muhimbili hospital
DeleteBadala ya kufuatilia matokeo miliardi sc huko Zimbabwe unaanza kufuatilia time zisizokuhusu
Deletenaona una povu la Perfect Chikweze toka Harare Zim mtakomaa mwaka huu si mna kelele mikia nyie
DeleteWeeh fala kweli!!!!.......sasa yanga hiyo mbeleko kabebwa na nani?,tff,singida au?.mikia mna tabu kweli,badala ya kufuatilia na kusikitika kwa matokeo uliyokutana nayo zimbabwe unafuatilia mambo yasiyokuhusu
DeleteWaliopanga ratiba wanaipa Yanga fursa ya kusonha mbele? Kwa nini wasiwapangie timu nyingine? Usawa hapa hakuna hasa kwa timu changa
DeleteWe mwandishi msenge sana mteremko gani sasa apo na simba vs majimaji sio mteremko? Azam vs magereza sio mteremko? Uwe unajielewa bc wakati mwingine
ReplyDeleteMwandishi nae ni kuma kabisa, sasa mtelemko gani? Kwahiyo singida angeifunga YANGA
ReplyDeleteSingida na Yanga walishacheza kabla yanga haijacheza na Dodoma jiji; na yanga alishinda, sasa tatizo hapo liko wapi. Yanga kasonga mbele kihalali kabisa, aliyajua haya ndo mana akacheza kabla ha ha ha haaaa
ReplyDeleteTatizo kunawatu wanamatatizo ya kufikiria, Singida FC imeshushwa na Bodi ya league, Sasa hapo Yanga inakosa gani? Kwann wasilaumiwe hao walioishusha na kutoa Povu kwa Yanga.
ReplyDeleteUhalisia hata wasingeshuka Wangepigwa tu, hawana uwezo wa kumfunga Yanga.