January 22, 2021

 


Mchaka mchaka wa soka unaendelea kuleta burudani kwa wapenzi wa soka, ligi zote zimepamba moto huku mashabiki wakiendelea kutambiana mtaani.

 

Meridianbet wapo na wewe bado! Kila wakati tunatazama ofa bomba zinazoweza kukupa ushindi mnono, wiki hii pia ni kama kawaida, tumekuwekea odds kibao kwenye mechi nyingi za soka kutoka ligi mbali mbali kuanzia Bundesliga hadi michuano ya FA.

 

Machaguo bora ya wiki hii unayapata hapa. Kutoka Bundesliga, mtazame Monchengladbach anapomkaribisha Dortmund leo ambaye anarejea akiwa na mararajio ya kurekebisha makosa baada ya kichapo cha 2-1 kwenye Ligi ya Mabingwa, mechi hii muhimu Meridianbet wanampa Dourtmund ushindi kwa odds ya 2.35

 

Huko Laliga, Levante yeye anamkaribisha Real Valladolid leo akitarajia kutumia nafuu ya kuwa nyumbani, mechi iliyopita walitoa sare ya 1-1, huku Levante akiongoza kwa ushindi kwenye mechi zao 5 za mwisho walizokutana uso kwa uso. Meridianbet wanampa ushindi mwenyeji Levante kwa odds ya 2.20

 

FA nako kumenoga, tunamtazama Southampton anapomkaribisha mshika mtutu – Arsenal Jumamosi wakiwa na tofauti ya pointi mbili tu kwenye EPL, Southampton yupo nafasi ya 9 na Arsenal nafasi ya 10. Meridianbet wanampa mwenyeji ushindi kwa odds ya 2.40

 

Twende kule Serie A, patachimbika pale vinara wa ligi AC Milan anapokutana uso kwa uso na Atalanta Jumamosi. Mgeni yeye anasaka kupandisha kwenye 4 bora ya msimamo wa ligi wakati Milan akitaka kujisimika pale kileleni. Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi Milan kwa odds ya 2.45.

 

Tukirejea Laliga, Vijana wa Manuel Pellegrini –Real Betis Jumamosi wanaenda kuusaka ushindi ugenini dhidi ya Real Sociedad wakiwa na tofauti ya nafasi tatu tu, Betis yupo nafasi ya 8 na mwenyeji wake yupo nafasi ya 6. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi Betis kwa odds ya 1.95

 

Tukirejea tena Serie A, Napoli anaenda kibaruani ugenini ushindi ukiwa ni muhimu zaidi kuitunza nafasi yake kwenye nne bora wakati ushindani ukiwa mkali zaidi, itakuwa kazi sana kwa Verona kumzuia Napoli anayeshikilia nafasi ya 3 sasa.  Meridianbet wanampa ushindi Napoli kwa odds ya 1.8

 

Tukirudi FA, Mashetani Wekundu –Manchester United  Jumapili wanakutana na mabingwa wa watetezi wa EPL, Liverpool atakuwa na kibarua cha ziada kwa Man United ambao ni vinara wa EPL sasa.  Meridianbet wamempa ushindi Man United kwa odds ya 2.65

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic