January 31, 2021


IKIWA leo ni kilele cha Simba Simba Super Cup Uwanja wa Mkapa ambapo Simba itamenyana na TP Mazembe, hiki hapa kikosi cha Didier Gomes kitakachoanza.

Kuhusu mabadiliko ya leo amesema kuwa anahitaji kuwaona wachezaji wake wte wakicheza na anaamini kwamba utakuwa mchezo wenye ushindani mkubwa:-

 Beno Kakolanya

David Kameta

Mohamed Hussein

Pascal Wawa

Joash Onyango

Tadeo Lwanga

Miraj Athuman

Rally Bwalya

Chris Mugalu

Clatous Chama

Luis Miquissone

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic