Ninja alifanikiwa kuwazuia Kagere na Mugalu kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi Jumatano iliyopita uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ubingwa baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 ambapo Simba haikupiga shuti lolote lililolenga lango.
Akizungumzia siri ya kuwazuia Kagere na Mugalu, Ninja amesema: "Nadhani jambo kubwa unapocheza kwenye safu ya ulinzi ni kuhakikisha unacheza kwa nidhamu na kufuata maelekezo ya walimu, na kuachana na tabia ya kucheza kwa presha.
“Siyo mara ya kwanza kwangu kucheza na dhidi ya Kagere hivyo namjua vizuri kwa kuwa nimewahi kucheza dhidi yake na najua kama unacheza kwa umakini na kutompa nafasi basi hawezi kuwa na madhara,"
ZERO Short on Target FC watakukumbuka Daima. Umewaandikia Historia na Record kwenye CLub hiyo.
ReplyDeleteKombe la njiwa fc Wana shida,Yani wanavyotamba Kama mtu no mgeni alafu akiuliza timu gani Kati ya hizi unacheza group stage champions league nafikiri anaweza kujua ni churaaa fc.Hiyo ndio maana halisi ya Utopolo
DeleteNa ile iliyogonga mwamba ni Nini short on your makalio
Deletekama hujui maana ya short on target uliza uambiwe we manyaunyau fc,sio unatia aibu......kugonga mbwamba ndio short on target?!!!,we kweli mbulula.
DeleteHakika umefanya kazi nzuri endelea kuwaadhibu hao .
ReplyDeleteNgoja mkutane tena tena halafu wakupange na refa awe makini dakika ya tano red kadi utakuhusu
ReplyDeleteKele za nini watu wenyewe mlikuwa mnacheza mpira wa vurugu tupu? Sema siri ni kuwachezea kivurugu ila mpira wewe huna
ReplyDeleteKelele za nini
ReplyDeleteNinja amecheza mpaka ligi ya Marekani, ni dhahiri anajua anachokifanya ktk safu ya ulinzi, Hongera zake
ReplyDeleteMarekani alipelekwa na dada yake na hakuna alichofanya huko hadi alipotimuliwa
ReplyDeleteUshindi wa 1-0 kagere aliifunga yanga goli la kichwa mbele ya ninja huyuhuyu
ReplyDeletewala ninja usitambe , shukuru ulipangwa na kazi ilienda vizuri basi...hao wachezaji kama kagere wana njia zao za kupata magori so simba hawakuwa na kiungo mbunifu kwenye final pasi ndio maana ata shuti moja alijapigwa.
ReplyDeleteKama yanga walicheza faulo sana je uliona statistics ya mechi? Simba madhambi 20 yanga 18 upo apo, je tim gan ilicheza kibabe apo?
ReplyDeleteUnaweza ukacheza faulo nyingi za kihuni na refa asione au akafumbia/akafumbwa macho. Ninachosema michezo ya kibabe
ReplyDeleteVitu vinne vinaweza kumfumba macho refa. Hongo ya fedha, uchawi, mapenzi binafisi, umbumbumbu wa sheria
ReplyDeleteKwamba ninja peke yake ndo alkuwa beki juzi na wengine woooote hawakuwepo uwanjani! Acheni kukatisha tamaa wachezaji wengine jmn!
ReplyDeleteMchezaji Bora wa mechi Onyango ambaye ni beki,na alipiga kichwa kidogo liwe goli mbele ya hao hao wakina Ninja,lkn utopolo fc sijui walikuwa wanaangalia Mpira upi
ReplyDeleteUMENIFANYA ICHEKE SANA, HONGERA MAPINDUZI CUP KWA MZOEZI MAZURI YA SIMBA. MAANA YATUONYESHA BAADHI YAWACHEZAJI WAKE KUWA NI WAZURI LICHA YA KWAMBA WAPO BENCHI. DUCHU, MIRAJAI "MADENGE"
DeleteKelele zote mjini ushindi wenyewe penalti ambazo hazina mwenyewe,alafu kombe lenyewe Sasa teh teh teh teh,ebana Simba endeleeni kutupa Raha kwenye michuano mikubwa wacha washangilie kombe la njiwa ni haki yak
ReplyDeleteNinja ungekuwa unafuata kanuni za ulinzi usingekaa benchi Utopolo fc
ReplyDeleteHuo udhaifu wa kagere mbona haujaandikwa... Makanjanja nao Utopolo mtupu
ReplyDelete