February 8, 2021


 ORODHA ya kikosi cha Klabu ya Simba kinachotarajia kuanza safari kesho, Februari 9 kuwafuata wapinzani wao AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Februari 12.

Ikiwa kundi A itaanzia ugenini kusaka pointi tatu ambapo kwenye orodha hiyo nyota wao Perfect Chikwende si miongoni mwa msafara huo.

Ingizo hilo jipya kwenye michuano ya kimataifa amepigwa chini kwa kuwa alicheza akiwa na timu yake ya zamani ya FC Platinum hivyo jina lake limeondolewa kwa wachezaji wa kimataifa yeye atabaki ndani ya Ligi Kuu Bara.

Hii hapa orodha ya wachezaji hao:-



6 COMMENTS:

  1. Kikosi hicho raha tupu na ndicho kitacholeta raha na mafanikio

    ReplyDelete
  2. Mbona beki wa kulia mwenye kusukuma mashambulizi mbele na kurudi nyuma kwa spidi ya umeme, Kameta Duchu haonekani hapo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yupo timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20

      Delete
  3. Ukisema Chikwende amepigwa chini unakosea, maana tangu anasajiliwa ilikuwa wazi kuwa hatatumika kwenye kwenye mechi za club bingwa hivyo alisajiliwa kwa ajili ya mechi nyingine

    ReplyDelete
  4. Mwandishi unapitosha. Usiseme ameenguliwa, sema hayumo kwenye orodha ya wachezaji wsliosajiliwa kwa michuano hiyo. Unapindisha kwa faida ya nani sasa.

    ReplyDelete
  5. Tunamlaumu mwandishi Ila unaweza kuta Hana anachoelewa... Maana mwandishi anaeelewa hawez KUandika pumba kiasi hicho

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic