LICHA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Simba inaelezwa kuwa mwamba Perfect Chikwende akili yake ipo Azam FC ila mwili upo Simba.
Nyota huyo ambaye amesaini dili hilo kwenye usajili wa dirisha dogo lililofungwa Januari 16 baada ya kufunguliwa Desemba 15 alikuwa anahitajika na Azam FC.
Dili lake ndani ya Azam FC lilikwamba baada ya kile ambacho mabosi wa timu hiyo walisema kuwa Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina hakumhitaji ndani ya kikosi hicho.
Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa ingekuwa Azam FC wanahitaji saini yake ingekuwa ngumu winga huyo kuibukia ndani ya Simba
"Ipo wazi kwamba Chikwende anapenda kuwa ndani ya Azam FC ila hana chaguo kwa kuwa mwalimu alimkataa ila kama ingekuwa anahitaji saini yake asingekuwa Simba.
"Kama Azam FC tunahitaji mchezaji kutoka Zimbabwe, wengi ni rahisi kumpata kwa sababu wengi wanaitambua Azam FC kwa uzuri na wanapenda kucheza hapa hivyo hatukushindwa kumsajili.
"Sisi tunamskiliza mwalimu anasema nini akishasema huyu mchezaji hapana basi tunamuacha hatuendelei kumfuatilia kabisa," .
Chikwende alitua ndani ya Simba akitokea Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe ambalo ilicheza na Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Walipokutana ndani ya Uwanja wa Taifa ya Zimbabwe, FC Platinum walishinda bao 1-0 ambalo lilifungwa na Chikwende mwenye ila ngoma ilizimwa Uwanja wa Mkapa kwa Simba kushinda mabao 4-0 na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
We muandishi wenzako wanakuchokoa sio bure.sasa maneno ya zakaria thabiti wa azam ndio akili ya chikwende? Kwanza wakati zakaria Thabiti akisema maneno haya mbele ya Magori wa simba ni kama vile walikuwa wanataniana.Utajiri wa habari za michezo uliojaa kipindi hiki kuna haja gani kumlishia chikwende maneno ya uongo sisi watanzania vipi lakini?
ReplyDeleteDah!
ReplyDeleteHuu ni uchochezi wa kisaikolojia. Nimesoma haraka nikitaka kuona wapi Chikwende ametoa hii kauli. Au performance yake Simba imekuwa chini kiasi cha kuona akili yake ipo Azam?
Mwandishi katumwa, hapo hakuna chochote kinachohusiana na hilo zaidi ya kutengeneza stori za kutaka kuleta hisia za ajabu ajabu
ReplyDeleteNi uwongo mtupu. Anatia sahihi huku amefurahi na uso wenye tabasamu yupu
ReplyDeleteHahahah kumbe mwili uko nguruwe fc ila Akili yote AZAM hahaha
ReplyDeleteAah mwili uko matahira fc a.k.a kalenda fc a.k.a manyani fc akili ipo kwa mnyama unyamani
DeleteIpo siku tutakuachia li blog lako usomage mwenyewe mihababari yako ya kijinga
ReplyDeleteShida ya Mlio wengi hamjui uandishi wa Havarti ndiyo manana mnalaumu sana. Yeye kaandika kichwa cha habari kitakachovuta watu wengi kusoma Khabari hiyo.
ReplyDeleteHavarti =habari
ReplyDeleteHivi tutavumilia mpaka lini uvundo huu wanakereketa
ReplyDeletemwandishi jitambue bac
ReplyDeleteNyau fc mmepoteana
ReplyDeleteNyau fc mmepoteana
ReplyDeleteHahaha..mikia aka paka mweusi/ nyau..
Delete