February 18, 2021


 LEO Februari 18, Uwanja wa Karume, Mara kutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Simba.

Biashara United inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikubali kichapo cha mabao 4-0.

Kwa mujibu wa Spoti Xtra, Alhamisi hiki hapa Kikosi cha Biashara United kinachotarajiwa kuanza:-

:-James Cleo

Deric Mussa

Mpapi Nasibu

Lenny Kissu

Abdulmajid Mangalo

Baraka William

Ally Kombo

Ramadhan Chombo

Deogratius Judika

Christian Zigah

Tariq Seif

3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic