February 28, 2021


IMEBAINIKA kuwa kilichokuwa kikimsumbua nahodha wa klabu ya Simba, John Raphael Bocco si majeraha kama ilivyokuwa ikiripotiwa hapo awali bali ni magonjwa mengine ya kiafya.

Bocco anayekamatia nafasi ya pili kwenye chati ya wafungaji bora msimu huu akiwa na mabao nane, juzi Ijumaa alirejea kwa mara ya kwanza uwanjani kuichezea Simba kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya African Lyon hii ni baada ya kukosekana tangu Januari 6, mwaka huu.

Akizungumzia hali ya nahodha huyo, Meneja wa kikosi cha Simba, Abbas Ally amesema, Bocco  sasa yuko fiti kwa ajili ya kuendelea kukisaidia kikosi chake kupata matokeo uwanjani.

“Nahodha wetu Bocco amerejea tayari kikosini baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu, na kukosekana kwake uwanjani kwa muda wote uliopita hakukuwa na uhusiano wowote na majeraha, bali ni changamoto nyingine za kiafya za kawaida,"

4 COMMENTS:

  1. Hapakuwa na haja ya kwenda that detailed, majeruhi au magonjwa mengine yote ni maradhi

    ReplyDelete
  2. Nini maana ya majeruhi, viazi bwana. Majeruhi si lazima uvunjike

    ReplyDelete
  3. Ama kwel wandsh wetu ok majeruh mpaka iweje

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic