UWANJA wa Karume, Mara
Mchezo wa Ligi Kuu Bara, kipindi cha kwanza
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko
Uwanja wa Karume, Mara
Biashara United 0-1 Simba
Dakika 3 zinaongezwa
Dakika ya 45 Kapombe anapeleka mashambulizi kwa Biashara United
Dakika ya 44 Perfect Chikwende anapaisha mpira juu akiwa ndani ya 18
Dakika ya 42 Wawa anacheza faulo, Biashara wanaanzisha mashambulizi kwenda kwa Manula
Dakika ya 38 Chikwenda anampiga kiwiko mchezaji wa Biashara United
Dakika ya 35 Deogratius Judika anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Onyango
Dakika ya 33 Lwanga anamchezea faulo mchezaji wa Biashara United
Dakika ya 32 Chikwende anachezewa faulo na Isihaka
Dakika ya 30 Mchezaji wa Biashara United anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 28, Manula anatuliza mpira gambani
Dakika ya 22 Goaaaaal Morrison
Dakika ya 21 Morrison anachezewa faulo
Dakika ya 18 Chikwende anapokwa mpira na nyota wa Biashara United
Dakika ya 16 Biashara United wanapeleka mashambulizi kwa Manula, mchezaji wa Simba Shomari Kapombe anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 14 Meddie Kagere anacheza faulo
Dakika ya 13 Lenny Kissu anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 10 Morrison anapiga kona haileti matunda
Mnyama anasonga mlango na wenye nyumba wakae upande wanyanyue mikono juu wampishe, si hivyo watapambana na makucha makali
ReplyDeleteKesi ya Morison imefikia wapi
ReplyDeleteHILO SWALI AULIZWE MWAKALEBELA NA WENZAKE
Delete