LEO, Februari 7, Simba walikuwa wanafanya uchaguz kwa ajili ya kumpata mrithi wa mikoba ya Sued Mkwabi aliyekuwa mwenyekti kwa upande wa Wanachama ambao alibwaga manyanga Septemba 2019.
Murtaza Mangungu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Simba amepata kura 802,ameshinda Juma Nkamia ambaye walikuwa wanagomabania nafasi hiyo.
Uchaguzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere ambapo wanachama wa Simba walianza kuhakiki kwanza kadi zao.
0 COMMENTS:
Post a Comment