Dakika ya 49 Kunambi anamchezea faulo Fei
Mapumziko
Mbeya City 0-0 Yanga
Mbeya City 0-0 Yanga
Dakika ya 45+1 Chitembe anaonyeshwa kadi ya njano
Kipindi cha kwanza
Zinaongezwa dakika 2
Dakika 45 zinakamilika
Dakika ya 44 Mnata anaokoa hatari
Dakika ya 43 Fei Toto anapeleka mashambulizi
Dakika ya 41 Farid Mussa anachezewa faulo
Dakika ya 31 Kisinda anaotea
Dakika ya 30 Yanga wanapata kona
Dakika ya 29 Fiston anapiga shuti linampa juu
Dakika ya 26 nyota wa Mbeya City anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 25 Mbeya City wakiwa kwenye umiliki mwamuzi anauliza kipyenga iwe fair play kwa kuwa kuna mchezaji alikuwa amechezewa faulo
Dakika ya 23 Nondo anachezewa faulo
Dakika ya 21 Tonombe anaanua majalo
Dakika ya 19 Fiston anatoa pasi inadhibitiwa
Dakika ya Lamine anapeleka kwa Fiston anapoteza
Dakika ya 17 Kunambi anamchezea faulo Tuisila
Dakika ya 15 Kunambi anamchezea faulo Sarpong
Dakika ya 13 Bakari anapiga faulo kwa Yanga
Dakika ya 11 Mbeya City wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 9 Michael Sarpong anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 2 Mbeya City wanapeleka mashambulizi Yanga
Maajabu mbeya city inaongoza goli 1
ReplyDeletesalehe blog hiyo
ReplyDeleteSalehe jembe tunawaomba na kuwasihi sana
ReplyDeletemuandike kwa uwiano sawa kuhusu hii sare sawa sawa alama kwa alama kama mlivyoandika kuhusu sare ya Simba na Azam
kabla ya mechi ya Simba na Azam timu ya Yanga ilicheza na kufungwa na timu ambayo moja Yanga ilikuwa imewachukulia kocha wao, mbili ni timu ambayo iko daraja la chini ya premium league..Lakini habari hiyo mkaibeza ik
awa kwa siku tatu mfululizo mnaandika kuhusu Nado na Sare ya Simba.. Sasa andikeni sana kuhusu hii sare ya leo
Nchi ya kupenyeza kitu kidogo
ReplyDeleteKama sare ya Azam na Simba ilikuwa ndiyo habari yenu...basi tunaomba na hii sare iwe ndiyo habari kuuu.
ReplyDeleteYanga pamoja na kubebwa kwa kupewa goli la utata..wamekwama...Haki ipo? walizoea hapo kileleni walipo ni kwa sababu ya ushindi tata kama mechi tatu.
Sasa advantage ya pointi mbili kwa sababu ya sare ya Simba na Azam imefutika...game linaanza upya..endeleeni kuwatunzia Simba kiti chao...wakifika mtanyanyua matako yenu ambayo saa hivi mavi yanagonga gonga chupi...utopolo AKA gongowazi..
na ohooo yale matumaini yane ya Simba kufungwa tano kishansa yaligonga mwamba..poleni watani
Je salehe jembe mtaendelea kutuwekea picha ya msimamo wa ligi kuu..Tafadhali msiache wekeni sana...
ReplyDeletenamna mambo yanavyoendelea kutoka kufungwa na Afrocan Lyon na sasa sare kumbe hata ile mechi ya tarehe 20 isingesogezwa mbele...kumbe mngechezea kichapo... wajinga kweli mlitonesha majeraha ya Saido ili mchukua Mapinduzi Cup... Na jana mliona ujinga waliofanya Yanga kwa Tshishimbi...alichezea AS Vita zaidi ya dakika 70...mkamuacha sababu ya majeruhi mkaleta watu useless mukoko na tausi la
Bahati yenu Manyani fc nyie
ReplyDeleteSasa iliyobaki Gongowazi ni kumzomea Mnyama baadae mwezi huu katika pambano dhidi ya bingwa wa soka la Afrika Al Ahli
ReplyDeleteKuzomea, kupiga na kuchana mashati ndilo wanalolijuwa, zuri la kufurahisha hawajijui. Wamepiduliwa chini juu na timu insyoshika mkia
ReplyDeletegame ya ute na mbeya city unyango alitoa mpira ulovuka goal line mkabebwa mmesahau? nenda leo kaangalie vzr goli la kaseke kabla ya mhemko
DeleteSalehe Jembe endeleeni kutupatia raha na karaha kwa kutuandikia kuhusu piston na Fiston...au ingieni kwenye uhalisia na muanze kumponda kama mlivyokuwa mnamponda na kumbeza Thadeo Lwanga na Joshua Onyangoa..
ReplyDeleteJana Thadeo ndiye alikuwa man of match pamoja na kuwa ndiye alichezewa faulo nyingi sana kuliko wote...Heko Piston /Fiston aliyemaliza dak 10 na Africa Lyon bila kugusa mpira...na leo dak 70 bila kufunga
Fiston au Fistula hapo tumepigwa.
ReplyDeleteKwa dssturi kila mechi inapomalizika na kujulikana matokeo kama ilivo hapo juu, hua inafats habari nyengine baada muda mdogo kuichambuwa mechi, lakini leo hii Mpaka sasa hivi hilo halijatokea ni wazi waandishi wamejiinamia. Simba ilipo draw na Azam ilikuwa habari ni hizo kwa hizo. leo kila mmoja atalala mapema. Wacheni ubaguzi wa wazi na msijioneshe mmeumia na mufanye mambo kiusawa
ReplyDeleteMost important, Yanga remains undefeated like mikia Sports club
ReplyDeletejidanganye mlikuwa mnasema ndiyo timu pekee haijafungwa 21... wakabirikiwa na katimu ambako hakachezi premium league na ambako Yanga walikaibia kocha.. wakajipoza kusema ni Friend match...
DeleteKiu ukweli Yanga ni kama imefungwa..Mbeya City ndiyo walikuwa wanaburuza mkia...na wametoka nyuma na kusawazisha goli za kubaka la dhuruma la Kaseke...jipoze eti ni timu haijafungwa...sare ya pili mfululizo katika ligi...mlishabikiriwa kinachofuatia ni vijitimu kujitobolea tuu
Angalia table... lose 0 ktk ligi na ndio rekodi yenyewe..hahaha. Nyinyi lose 2
Deletemmeamua kupotea kabisa..AIBUU..
ReplyDeletebasi wekeni hata msimamo wa ligi..
ukweli ni kwamba kama yanga ingechomoa na lile goli la kubaka la Kaseke katika dak ya 85..mmngekuwa mmeishaandika mengi kuhusu hiyo mechi...
Basi salehe jembe tuambie Paksali Athanas amesemaje leo kuhusu ukitaka kuifunga Yanga fanya hivi? Aibu... Andika basi hata namna Piston/Fistula amecheza...Au andika basi kuhusu Carlos si niliona picha yake kwenye kikosi cha Yanga leo..kumbe hata hayuko sub
Watuambie na beki ya yanga imefungwa goli ngapi, wawa na lamini moro nani zaidi wasisahau kutuambia
ReplyDeleteVikongwe vyenu..hahaha Penati ya dakika ya mwisho inawapokonya Yanga pointi tatu baada ya bao la Deus Kaseke. Yanga bado wako ‘unbeaten’.
DeleteUtopolo kujilinganisha na Simba ni ujinga wa hsli ys juu.
ReplyDeleteWenzenu wapo Champions League wakishindana na mabingwa wenzenu. Unbeaten itawasaidia nini kwani Simba akishinda mechi zske za viporo mtskuqa chini yao.