SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa,(CAF) limefuta mechi kati ya CD ed Agosto v Namungo, mechi hiyo ilipaswa kuchezwa kesho ambayo ni hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho.
Namungo inayonolewa na Hemed Morocco, jana Februri 12 iliwasili Angola kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambapo wenyeji wao wa Angola ambao ni Wanajeshi waliwazuia Uwanja wa wa ndege kwa kueleza kuwa wachezaji watatu pamoja na kiongozi mmoja wana maambukizi ya Corona.
Taarifa hiyo ilifika kwenye Serikali ya Tanzania ambapo kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema bungeni kuwa wanalifuatilia kupitia Wizara ya Mambo ya nje na taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa mechi hiyo imefutwa na taarifa imeeleza namna hii:-
Naomba ufafanuzi:
ReplyDelete1. Kanuni za CAF/FIFA zinasema nini katika mazingira haya, hususan vipimo vya COVID
2.Namungo wangewahi kidogo kama siku 4, kabla ya mechi, kukwepa figisu?
3. Ipo nafas kwa Namungo kudai fidia?
Si kawaida ya Saleh Jembe endapo Yanga wameshinda wakaaacha endelea chapisha habari...Saa tatu zimeishapita waandishi wameenda lala
ReplyDeletemmeamua kupotea kabisa..AIBUU..
basi wekeni hata msimamo wa ligi..
ukweli ni kwamba kama yanga ingechomoa na lile goli la kubaka la Kaseke katika dak ya 85..mmngekuwa mmeishaandika mengi kuhusu hiyo mechi...
Basi salehe jembe tuambie Paksali Athanas amesemaje leo kuhusu ukitaka kuifunga Yanga fanya hivi? Aibu... Andika basi hata namna Piston/Fistula amecheza...Au andika basi kuhusu Carlos si niliona picha yake kwenye kikosi cha Yanga leo..kumbe hata hayuko sub..AIBUUU
Kadri muda unavyoenda ndivyo wanavyozidi kuaibika
DeleteTusubiri...midomo isije kwenda upande
ReplyDeleteUtopolo hii eti inandoto ya ubingwa thubutu
ReplyDelete