March 31, 2021


KIKOSI cha Yanga kina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mechi zake nne kwa mwezi Aprili baada ya leo Machi 31 ratiba kutoka.

Hizi hapa ni mechi nne za vinara wa Ligi Kuu Bara wenye pointi 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 23 namna hii:- Yanga dhidi ya KMC, Uwanja wa Mkapa itakuwa ni Aprili 10.

Yanga dhidi ya Biashara United, itakuwa ni Aprili 17, Uwanja wa Mkapa.

Yanga dhidi ya Gwambina, Aprili 20, Uwanja wa Mkapa

Yanga dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Aprili 25.

3 COMMENTS:

  1. Ratiba gan hyo mech nne zote nyumbn za ugenini zmeisha au?

    ReplyDelete
  2. Sasa ulitakaje ww kwa MFANO labda maana mechi zote hizo alikua ugenini na ratiba imetoka inainyesha zahiri KUWA YANGA atakuw yumbani

    ReplyDelete
  3. Tunaiombea Tim yt ya yanga ifanye vizuri mechi zote zilizo baki iwe nyumban ama ugenini mungu yu pamoja nasi amen

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic