Yanga itachukua muda kuamka.Dusijidanganye mpira bila ya mipango maalum ya uekezaji ni unafiki.Na namshangaa Sana Injinia Hersi anachoendelea kukifanya ndani ya Yanga kwani hata Mo alifanya ndani ya Simba akafeli mpaka aliposhauriana na wanasimba kuwa Kama muekezaji mwenye mapenzi ndani ya Simba.Injinia Hersi namshauri kutumia kukubalika kwake ndani ya Yanga kuharakisha mabadiliko yenye tija.
Hivi unajua maana ya uwekezaji? Ni kununua wachezaji wazuri toka nje tu? Bila miradi ya kuingizia timu hela? Hata makao makuu ya klabu yakibaki na kuendelea kuwa gofu? Ofisi za kiutendaji za klabu zikihamishiwa ofisi za Mo Enterprises? Hivi timu zilizo levo ya juu kama Al Ahly zimewekeza vipi? Haya maendeleo ya Simba yanayotegemea mtu mmoja pakee ni sustainable? Hivi (to be serious) Simba ya sasa na Yanga ya Manji kuna tofauti ipi?
ACHA KUONGELEA MATAKO WEWE, USHABIKI WEKA PEMBENI HUWEZI LINGANISHA SIMBA NA YANGA JAPO MMAENDELEA KUJIFARIJI KWAMBA MTABEBA UBINGWA KWASABABU YA MIKAKATI HEWA NA WACHEZAJI MAGARASA NA MWAKANI MTASHIRIKI CLUB BINGWA KWA HISANI ZA MNYAMA JITAHIDI UMALIZE NAFASI YA PILI, WAKATI UNAENDELEA KUIPONDA SIMBA,KWASASA NDIO CLUB INAYOPASUA VICHWA TIMU KUBWA ZA BARA LA AFRIKA, KATIKA MECHI KUMI ZA SIMBA ALIZOCHEZA NA CLUB KUBWA BARANI AFRICA NI MECHI TATU NDIO ALICHEZA CHINI YA KIWANGO ZILIZOBAKI ZOTE AMEWADUWAZA WAPINZANI,UKITAKA KUAMIN ANGALIA STATISTICS ANALYSIS ZA MECHI ZA CAF CHAMPION LEAGUE ALIZOCHEZA SIMBA UTAPATA MAJIBU, MECHI ALIYOBORONGA NI DHIDI YA AS VITA TU KULE CONGO,HATA KAMA UNA USHABIKI JARIBU KUUKUBALI UKWELI PALE UNAPOJITOKEZA, ANGALIA MECHI YA SIMBA NA PRISON SIMBA IMEFIKA GOLIN NAKUPIGA MASHUTI YALIYOLENGA GOLI ZAIDI YA 12 WAKATI PRISON AKIPIGA MAWILI TU, PASS ACURACY 86,UMILIKI 70 LAKIN WEWE KILAZA BADO UTASEMA PRISON AMECHEZA MPIRA KULIKO SIMBA, TIMU BORA SIO KUFUNGA TU KUNA VIGEZO VINGI SANA MPAKA TIMU IITWE TIMU BORA NA VINGI VINAPATIKANA SIMBA HATA UUPINGE UKWELI ILA NDIVYO ILIVYO, NA KAMA HUJUI WACHEZAJI WA KIBONGO WANA TABIA YAKUKAMIA MECHI NDIOMANA HAWAWEZI KUDUMU KWENYE VIWANGO WANAVYOONYESHA KWASABABU UKIKAMIA MECHI MATOKEO YAKE NI KADI NYEKUNDU NA MAJERAHA YA MUDA MREFU, MFANO BALAMA,SAIDO,NINJA NA WENGI TUNASHUHUDIA WANAVVYOPEWA REDI CARD KWASABABU YA KUKAMIA MECHI, SASA TAMBUA TU KWAMBA TIMU IKISHAJUA KWAMBA IMEKAMIWA HAIWEZI KUCHEZA KWA KIWANGO CHAKE CHA KAWAIDA KWASABABU HAINA MALENGO MAFUPI YAKUISHIA HAPO, KUMBUKA MECHI YA AZAM NA SIMBA, MECHI ZA YANGA NA SIMBA MARA NYINGI SANA WANAKAMIANA SASA UKIWA PRO PLAYERS LAZIMA UTAKUA NA DIFFENSIVE TECHNICALS NDIOMANA MA PRO WENGI WA SIMBA WANABAKI NA VIWANGO VYAO KWA MUDA MREFU TOFAUTI NA WENGINE, POVU RUKSAAAAAA.
Tofauti kati ya Simba ya Mo na Yanga ya Manji ni kwamba Simba imeingia makundi CAF mara mbili na robo fainali CAF mara moja katika miaka mitatu, Mungu akisaidia yawezekana hata mara hii wakaingia robo fainali, na Yanga ya Manji haijulikani hata ilichofanya
Yanga itachukua muda kuamka.Dusijidanganye mpira bila ya mipango maalum ya uekezaji ni unafiki.Na namshangaa Sana Injinia Hersi anachoendelea kukifanya ndani ya Yanga kwani hata Mo alifanya ndani ya Simba akafeli mpaka aliposhauriana na wanasimba kuwa Kama muekezaji mwenye mapenzi ndani ya Simba.Injinia Hersi namshauri kutumia kukubalika kwake ndani ya Yanga kuharakisha mabadiliko yenye tija.
ReplyDeleteHivi unajua maana ya uwekezaji? Ni kununua wachezaji wazuri toka nje tu? Bila miradi ya kuingizia timu hela? Hata makao makuu ya klabu yakibaki na kuendelea kuwa gofu? Ofisi za kiutendaji za klabu zikihamishiwa ofisi za Mo Enterprises? Hivi timu zilizo levo ya juu kama Al Ahly zimewekeza vipi? Haya maendeleo ya Simba yanayotegemea mtu mmoja pakee ni sustainable? Hivi (to be serious) Simba ya sasa na Yanga ya Manji kuna tofauti ipi?
DeleteACHA KUONGELEA MATAKO WEWE, USHABIKI WEKA PEMBENI HUWEZI LINGANISHA SIMBA NA YANGA JAPO MMAENDELEA KUJIFARIJI KWAMBA MTABEBA UBINGWA KWASABABU YA MIKAKATI HEWA NA WACHEZAJI MAGARASA NA MWAKANI MTASHIRIKI CLUB BINGWA KWA HISANI ZA MNYAMA JITAHIDI UMALIZE NAFASI YA PILI, WAKATI UNAENDELEA KUIPONDA SIMBA,KWASASA NDIO CLUB INAYOPASUA VICHWA TIMU KUBWA ZA BARA LA AFRIKA, KATIKA MECHI KUMI ZA SIMBA ALIZOCHEZA NA CLUB KUBWA BARANI AFRICA NI MECHI TATU NDIO ALICHEZA CHINI YA KIWANGO ZILIZOBAKI ZOTE AMEWADUWAZA WAPINZANI,UKITAKA KUAMIN ANGALIA STATISTICS ANALYSIS ZA MECHI ZA CAF CHAMPION LEAGUE ALIZOCHEZA SIMBA UTAPATA MAJIBU, MECHI ALIYOBORONGA NI DHIDI YA AS VITA TU KULE CONGO,HATA KAMA UNA USHABIKI JARIBU KUUKUBALI UKWELI PALE UNAPOJITOKEZA, ANGALIA MECHI YA SIMBA NA PRISON SIMBA IMEFIKA GOLIN NAKUPIGA MASHUTI YALIYOLENGA GOLI ZAIDI YA 12 WAKATI PRISON AKIPIGA MAWILI TU, PASS ACURACY 86,UMILIKI 70 LAKIN WEWE KILAZA BADO UTASEMA PRISON AMECHEZA MPIRA KULIKO SIMBA, TIMU BORA SIO KUFUNGA TU KUNA VIGEZO VINGI SANA MPAKA TIMU IITWE TIMU BORA NA VINGI VINAPATIKANA SIMBA HATA UUPINGE UKWELI ILA NDIVYO ILIVYO, NA KAMA HUJUI WACHEZAJI WA KIBONGO WANA TABIA YAKUKAMIA MECHI NDIOMANA HAWAWEZI KUDUMU KWENYE VIWANGO WANAVYOONYESHA KWASABABU UKIKAMIA MECHI MATOKEO YAKE NI KADI NYEKUNDU NA MAJERAHA YA MUDA MREFU, MFANO BALAMA,SAIDO,NINJA NA WENGI TUNASHUHUDIA WANAVVYOPEWA REDI CARD KWASABABU YA KUKAMIA MECHI, SASA TAMBUA TU KWAMBA TIMU IKISHAJUA KWAMBA IMEKAMIWA HAIWEZI KUCHEZA KWA KIWANGO CHAKE CHA KAWAIDA KWASABABU HAINA MALENGO MAFUPI YAKUISHIA HAPO, KUMBUKA MECHI YA AZAM NA SIMBA, MECHI ZA YANGA NA SIMBA MARA NYINGI SANA WANAKAMIANA SASA UKIWA PRO PLAYERS LAZIMA UTAKUA NA DIFFENSIVE TECHNICALS NDIOMANA MA PRO WENGI WA SIMBA WANABAKI NA VIWANGO VYAO KWA MUDA MREFU TOFAUTI NA WENGINE, POVU RUKSAAAAAA.
DeleteTofauti kati ya Simba ya Mo na Yanga ya Manji ni kwamba Simba imeingia makundi CAF mara mbili na robo fainali CAF mara moja katika miaka mitatu, Mungu akisaidia yawezekana hata mara hii wakaingia robo fainali, na Yanga ya Manji haijulikani hata ilichofanya
DeleteInakaribia ukweli lakini.
ReplyDelete