FT: Namungo 0-2 Pyramids
Uwanja wa Mkapa, mchezo wa pili kwa Namungo wanapoteza pointi tatu wakiwa nyumbani bila ya mashabiki.
Namungo wamekuwa wakipambana kimataifa kwa kukosa mipango ya umaliziaji na kutengeneza nafasi ndani ya uwanja jambo ambalo limewagharimu leo, Machi 17.
Dakika ya 88 Sey anacheza faulo ndani ya 18 la eneo la Pyramids
Dakika ya 82 Goal Gaber anawafunga Namungo FC
Dakika ya 82 Pyramids wanapeleka mashambulizi Namungo
Dakika ya 74 Humud anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 70 Goal Ramadhan Sobhi kwa penalti
Dakika ya 68 Namungo wanatengeneza penalti kupitia kwa Karlos anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 67 Kikoti anafanya jaribio linakwenda juu ya lango
Dakika ya 64 Kichuya anafanya jaribio linakwenda juu kidogo ya lango
Dakika ya 60 Kikoti anapiga kona inaokolewa na kipa wa Pyramids
Dakika ya 58 Sabilo anacheza faulo
Dakika ya 57 Sey anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 54 Sey anachezewa faulo mwamuzi anapeta
Dakika ya 51 Nahimana anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 50 Kichuya anapiga kona inaokolewa
Dakika ya 49 Namungo wanapata kona inaokolewa na kipa
Dakika ya 48 Namungo FC wanapeleka mashambulizi Pyramids
Kipindi cha pili kimeanza
Kombe la Shirikisho
Mapumziko: Namungo FC 0-0 Pyramids
Namungo FC 0-0 Pyramids
Dakika ya 45 Nahimana anaokoa kona
Dakika ya 45 mchezaji wa Pyramids anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 42 Namungo wanapeleka mashambulizi Pyramids
Dakika ya 37 Pyramids wanapata faulo inaokolewa na Nahimana
Dakika ya 35 mchezaji Pyramids anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 32 Pyramids inapeleka mashambulizi Namungo FC
Dakika ya 26 Kichuya anapiga shuti ndani ya 18 linaokolewa na kipa, Sey anarudia anakosa
Dakika ya 25 Kichuya anaotea
Dakika ya 24 Nzigamasabo anapelekea mashambulizi Pyramids
Dakika ya 22 Kichuya anapiga kona haileti matunda
Dakika ya 16 Namungo wanafanya jaribio halileti matunda
Dakika ya 6 Nahimana anaokoa hatari








Namungo ndo hawajui figisu au
ReplyDeleteSasa una muuliza mwandishi au
Delete