March 24, 2021

 

“MAMBO mazuri yanakuja Yanga” ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mipango mikubwa ambayo klabu hiyo imeanza kuisuka kwa kushirikiana na Wataakamu wa soka kutokea mataifa ya Afrika Kusini, Latvia, Ghana na Uganda.

Mipango hiyo inakuja muda mfupi baada ya wageni hao kutembelea makao makuu ya klabu hiyo wikiendi iliyopita, na kukutana na viongozi mbalimbali wa Yanga wakiwemo Kaimu Katibu Mkuu, Haji Mfikirwa na Mshauri Mkuu wa masuala ya mabadiliko, Senzo Mbatha.

Yanga ndiyo vinara wa Ligi Kuu Bara mpaka sasa ambapo wamefanikiwa kukusanya pointi 50 katika michezo yao 23 waliyocheza.

Akizungumzia ujio huo, Senzo amesema: “Tunashukuru kwa ugeni tulioupokea hivi karibuni wa wataalamu wa masuala ya soka kutoka nchi za Latvia, Uganda, Ghana na Afrika Kusini.

“Ugeni huu umetupa wasaa mzuri wa kujifunza na kubadilishana uzoefu, juu ya mambo mengi kuhusiana na mchezo wa soka na ukuaji wa klabu yetu."


11 COMMENTS:

  1. Tulifikiri wameleta kocha kumbe watali utopolo mekuwa yanga tours and safari 😂😂😂

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari ya Yanga wewe umeitolea macho.... Jamani kah!

      Delete
  2. Wale wa La Liga waliishia wapi? Maneno meeengii kazi haionekani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbe vilaza wengi. La Liga inasambazwa wanachama waielewe na kama kuna maboresho yafanyike kabla ya kupitishwa ktk mkutano mkuu

      Delete
    2. Hamna kitu nyie ni utopolo tu

      Delete
  3. Hawa jamaa kila siku mambo mazuri yanakuja hayafiki tu sijui yanatokea wapi ambako ni mbali sana

    ReplyDelete
  4. Hawajazungumzia la Liga Sina habari uielewe acha kukurupuka Kama manara

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utopolo unachelewa kuchanganya

      Delete
  5. Yote yatapita lakini ipo cku mtaelewa

    ReplyDelete
  6. yeah ni kweli baba leo wanatamba wao kesho tutatamba sisi kwani kuimba si kupokezana banaa au

    ReplyDelete
  7. Just a little advice from you brothers. At the moment we need to be champions. Mwambusi is the right person, add on Mkwasa because I believe they can stay together. And their sports director should be Mr Kim Polsen the old man.

    Get them a contract with convicing incentives as you do for foreign coaches.

    For players we have and the situation around we nee committed people with DNA with Yanga.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic