April 2, 2021




 KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la  Mpira wa Miguu, Tanzania, (TFF) imemfungia miaka mitano Makamu Mwenyekii wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchi.


Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TFF leo Aprili 2 imeeleza kuwa kamati imemkuta na hatia ya kutoa maneno ya uchochezi kwa Wanachama na mashabiki kuhusu vyombo vinavyosimamia mpira.


Taarifa hiyo ipo hivi:-




20 COMMENTS:

  1. Dawa ya uchochezi na kusema uongo.Alidai ana mkataba wa Simba na Morisson. Alipoambiwa autoe akashindwa. Pia madai ya Yanga kuhujumiwa alishindwa kuthibitisha.Dawa ya ujings huu ni kumfungia.Ajifunze na kujiuliza kwanini viongozi wengine wa Yanga wanamtuma yeye tu kwa kila jambo lenye utata?Mbona kwenye maendeleo na usajili hatumwi?Akili ya kushikiwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aliambiwa autoe mtaani si mpaka kuitishwe shauri rasmi kiofisi?

      Delete
    2. HAYO ULIZA WEWE! TFF HAWANA HUO WA MUDA TENA

      Delete
  2. Yanga wamemchuuza ili awapishe. Kwisha habari yake

    ReplyDelete
  3. safi kabisa akamfikirie morrisoni akilini na moyoni kwake...haruhusiwi kuongea

    ReplyDelete
  4. Ana makosa yake...ila ila adhabu nayo ni kLi mno!

    ReplyDelete
  5. Ana makosa yake...ila ila adhabu nayo ni kLi mno!

    ReplyDelete
  6. Kunya anye kuku akinya bata mchafu!!

    ReplyDelete
  7. Mimi yanga bora ametoka nae hakuwa na mchango kwanza toka, kila wakati anafikiri utumbo badala ya kufikiri maendeleo ya timu

    ReplyDelete
  8. Inyeshe ili tujue panapovuja....Mama SSH kuna wengine wengi "wa kuwasaidia" huku TFF...

    ReplyDelete
  9. Mahakama ya simba, fisi ndiye hakimu

    ReplyDelete
  10. Mama ndiye aliyemtuma azushe na kusema uongo?Wacheni kumhusisha mama na ujinga.Mwacheni ajenge Nchi.

    ReplyDelete
  11. Alifeli akiwa kiongozi tff + kafeli tena akiwa kiongozi utopolo = mwakalebela niwakufelifeli tu.

    ReplyDelete
  12. Hayo ni matokeo ya pale ubabe unapopindukia mipaka. Ikiwa kiongozi ni wa namna hiyo, nini unararaji kwa wafuasi na ndipo inapokuja ile piga, chania nguo, zomea, lalamikia kila kitu na mengi mengineo

    ReplyDelete
  13. SHERIA HIZO ZILIKUWEPO SIKU NYINGI SANA, HAKUNA LA AJABU, NA HAKUNA AMBAYE HAJUI MWAKALEBELA AMEFANYA NINI. ACHA AADHIBIWE TU......VIPI BUMBULI NAE KARUDI TENA?

    ReplyDelete
  14. Mnanikumbusha kwamba usibishane na mtu mwenye 800Kg

    ReplyDelete
  15. Tatizo Tff ni Simba ndo maana viongozi wa yanga WANAFUNGIWA Sana mwaka huu kwani ya imewakosea Nini Tff jamani

    ReplyDelete
  16. Tatizo Tff ni Simba ndo maana viongozi wa yanga WANAFUNGIWA Sana mwaka huu kwani ya imewakosea Nini Tff jamani

    ReplyDelete
  17. Mwaka huu tutakoma wanayanga maana Tff siwaelewi kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic