MUONEKANO WA NDINGA MPYA YA SIMBA MUONEKANO wa ndiga mpya, 'TATA' ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambayo imetinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
TRA?
ReplyDeleteXTRA
DeleteIs that red or orange color?
ReplyDeleteNuru ya Simba inaonekana kote duniani na itažidi kungara na 99 kwa Mia ubingwa ni wao. Mungu ni Mkubwa na muweza. Motisha inafanya kaži kwa wachezaji wa Simba lakini kwa ajabu kwao sufuri
ReplyDeleteMi nafikiri ungetuonyesha muonekano wa ndani pia kuliko hivi ulivyofanya. Au na wewe uliliona Barabarani tu?
ReplyDelete