April 4, 2021

1 COMMENTS:

  1. Hongera simba.Ibenge mwenye Vita club yake kakubali kuwa Simba hawa sio wa kawaida ila sisi watanzania tunaojifanya kuijua vita club kuliko ibenge tunasema Vita hii sio yenyewe .Kwani Real Madrid akifungwa sasa huwa watu wanasema kwa sababu Ronaldo au Gareth Bale hawapo? Vita hii hii Simba wangefungwa pale kwa mkapa Lugha ingekuwa simba bado bana.Wengine wanasema Simba akikutana na Mamelodi Sundown habari imeisha. Nikwambie tu. Kwa simba hii Mamelodi sundown ni timu ya kawaida sana. Yote kwa yote Kuna wale wanaosema Mugalu vipi tena? Mugalu ni forward pekee kwa simba mwenye uwezo wa kucheza psychology minded game kwa mabeki wa timu pinzani. Angalia mechi ya simba na Alahly baada ya tu Mugalu kufanyiwa mabadiliko timu nzima ya Ahly ilipata ujasiri wa kupanda juu kushambulia.Suala la Kuongeza nguvu eneo la washambuliaji pale simba ni endelevu na ndio maana akaletwa Lokosa ila yawezekana hajakizi vigezo ila ilipofika Simba ni patamu Si mbaya Kama watagharamika tena kumleta Mfungaji wa ziada sio wa Majaribio hata kutoka nje ya Africa Maana klabu bingwa ya Dunia inanukia ni kutamu huko kimaslahi asikwambie mtu.
    Hongera Simba.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic