April 5, 2021

3 COMMENTS:

  1. MO unataka kutuharibia timu!!! kama umeamuakutoa hamasa kwa wachezaji basi toa kwa ulinganifu kwa timu nzima hakuna mchezaji anayecheza peke yake uwanjani, bali wanachaza kama timu si mmoja mmoja.Matokeo yanayopatikana uwanjani ni ushirikiano wa wachezaji wote. Labda nikukunbushe miaka ya themanini Majirani zetu hao wa kijani walishawahi kufanya unavyofanya wewe kwa mchezaji anaitwa ELISHA JOHN, kilichowakuta huko Kenya kwenye mashindano ya Afrika mashariki ilikuwa ni fundisho kwao.Chonde chonde MO unapotoa toa kwa kuiunganisha timu siyo kuigawa timu,wachezaji wote ni wa SIMBA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna timu kubwa duniani wachezaji wanapewa posho zinazolingana...watu wanapewa kutokana na mkataba unasemaje...kama mkataba umeahidiwa 40 utapewa hiyo..kama ni 10 utapewa hiyo ndomana manula haulizwi kafunga wala miquissone hadaki

      Delete
    2. Hujui maana ya mikataba,ukijua maana ya mikataba hutotoa povu Kama hilo

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic