SAUTI ya Injinia Hersi Said kutoka Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga akibainisha eneo ambalo wao ni bora kuliko timu nyingine na ameweka wazi kwamba wanaipa thamani Yanga.
Njia mliotumia GSM kuwekeza Yanga mnapoteza pesa zenu bure. 1. Mnailipa La liga bilioni 1.5 kwa kazi gani - kwanini msingeenda kwa washauri wa ndani hata ambao wangeweza kutoa ushauri wa uwekezaji kwa gharama nafuu zaidi. Serikali inataka asilimia 51% za hisa ziwe za wanachama na asilimia 49% za hisa ziwe za wawekezaji zaidi ya wawili, sasa kuna haja ya kutafuta tafsiri kwa Sevilla au laliga ambao wapo uhispania na sheria zao za uwekezaji zipo kwa mujibu wa sheria za hispania. Yaani mspaniola aje akutafsirie sheria ya Tanzania, huo ni ukoloni mambo leo. Senzo mbatha analipwa kama mshauri wa mabadiliko, yaani unamlipa mtu pesa nyingi kwa ajili ya kukushauri kitu ambacho kipo wazi kisheria 51+49=100???. Ina maana wana Yanga na GSM mnashindwa kujua mfumo au muundo wa timu katika uwekezaji wa 51% kwa 49% uwe vipi? Kama mambo madogo kama hayo yana washinda mtawezaje makubwa? GSM + ROSTAM wangeungana wangesimama kama wawekezaji Yanga na wawekeze pesa zao katika kuunda timu ya kiushindani na wanachama na mashabiki wawekewe mfumo sahihi wa kumiliki hizo hisa 51% kwanza kwa kuhakiki wanachama wote waliopo bara na visiwani kupitia hizo bilioni 1.5 mnazo wapa la liga zingeweza kutumika kama gharama za kufanya uhakiki, baada ya kujua wanachama waliopo hizo 51% zigawanywe kwa idadi ya wanachama hai waliopo na wauziwe kwa bei ya tsh 10000 kwa hisa moja. Baada ya hapo pesa itakayo patikana kwa kuuza hisa 51% za klabu kwa wanachama zihifadhiwe kama mtaji wa klabu, na wawekezaji nao waweke mpunga wao mezani na klabu ianzishe vitega uchumi kupitia pesa ya wawekezaji na wanachama.
Poor sound quality...saleh tunaomba urekebishe boss mziki uko juu sana hatusikii interview
ReplyDeleteNjia mliotumia GSM kuwekeza Yanga mnapoteza pesa zenu bure.
ReplyDelete1. Mnailipa La liga bilioni 1.5 kwa kazi gani - kwanini msingeenda kwa washauri wa ndani hata ambao wangeweza kutoa ushauri wa uwekezaji kwa gharama nafuu zaidi. Serikali inataka asilimia 51% za hisa ziwe za wanachama na asilimia 49% za hisa ziwe za wawekezaji zaidi ya wawili, sasa kuna haja ya kutafuta tafsiri kwa Sevilla au laliga ambao wapo uhispania na sheria zao za uwekezaji zipo kwa mujibu wa sheria za hispania. Yaani mspaniola aje akutafsirie sheria ya Tanzania, huo ni ukoloni mambo leo.
Senzo mbatha analipwa kama mshauri wa mabadiliko, yaani unamlipa mtu pesa nyingi kwa ajili ya kukushauri kitu ambacho kipo wazi kisheria 51+49=100???. Ina maana wana Yanga na GSM mnashindwa kujua mfumo au muundo wa timu katika uwekezaji wa 51% kwa 49% uwe vipi? Kama mambo madogo kama hayo yana washinda mtawezaje makubwa? GSM + ROSTAM wangeungana wangesimama kama wawekezaji Yanga na wawekeze pesa zao katika kuunda timu ya kiushindani na wanachama na mashabiki wawekewe mfumo sahihi wa kumiliki hizo hisa 51% kwanza kwa kuhakiki wanachama wote waliopo bara na visiwani kupitia hizo bilioni 1.5 mnazo wapa la liga zingeweza kutumika kama gharama za kufanya uhakiki, baada ya kujua wanachama waliopo hizo 51% zigawanywe kwa idadi ya wanachama hai waliopo na wauziwe kwa bei ya tsh 10000 kwa hisa moja. Baada ya hapo pesa itakayo patikana kwa kuuza hisa 51% za klabu kwa wanachama zihifadhiwe kama mtaji wa klabu, na wawekezaji nao waweke mpunga wao mezani na klabu ianzishe vitega uchumi kupitia pesa ya wawekezaji na wanachama.
hivi hizi biti zina maana gani mana husikii,waandishi siku hizi
ReplyDelete