VIDEO: KMC: YANGA WALISHINDWA KUTUMIA NAFASI, NASI PIA
NYOTA wa kikosi cha KMC ambaye yupo kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba, Charlse Ilanfya amesema kuwa Yanga ilipata nafasi nyingi ila ilishindwa kuzitumia na wao walipambana ila walishindwa kupata ushindi
Jinga hilo lilikosa nafasi ya wazi halafu linazungumzia nafasi za yanga
ReplyDelete