VIDEO: SKATA LA MKATABA WA TSHABALALA LIPO NAMNA HII
SAKATA la mkataba beki wa kushoto wa Simba na nahodha wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imetinga hatua ya robo fainali limezidi kuwa gumzo, kuhusu mwendo wa ligi pia mambo yapo namna hii
Mimi nafikiri asituvuruge kama yeye anaona aende, aende tu ili kesho akiona arudi akaribishwe tena. Tunayomifano mingi ya Wachezaji waliondoka Simba na Kwenda kwingineko. Mchezaji Emmanuel Okwi, Kapombe, Kaseja Juma, Ngasa n.k
ReplyDeleteKama hataki kuongeza Simba ni taasisi kubwa asituumize kichwa asepe Kama vipi
ReplyDelete