April 28, 2021

KUMBE baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC wakati Yanga wakipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kuna mashabiki Yanga walilia, shabiki huyu amesema kuwa kilio kikubwa cha timu hiyo kwa sasa ni washambuliaji huku wakiwaomba viongozi kutatua matatizo yaliyopo kwenye timu pia ameweka wazi kwamba suala la ubingwa kwao ni ngumu.  

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic