April 2, 2021


IKIWA ipo nafasi ya tatu na pointi zake 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 24 imebakiwa na vigongo 10 kukamilisha mzunguko wa pili.

Katika mechi hizo 10, Azam FC mechi tano itakuwa nyumbani Uwanja wa Azam Complex na mechi tano itakuwa ugenini.

Hii hapa ratiba ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina:-

Azam FC v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex Aprili 9.

JKT Tanzania v Azam FC, Aprili 16, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Dodoma Jiji v Azam FC, Aprili 22, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Yanga v Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Aprili 25.


Azam FC v KMC, Uwanja wa Azam Complex, Mei 15.


Azam FC v Biashara United, Azam Complex, Mei 20.


Azam FC v Gwambina FC, Uwanja wa Azam Complex, Juni 18.


Namungo FC v Azam FC, Uwanja wa Majaliwa, Juni 21.


Azam FC v Simba, Uwanja wa Azam Complex, Julai 8.


Ruvu Shooting v Azam FC, Uwanja wa Mabatini, Julai 11.

 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic