April 6, 2021


UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekanusha taarifa ambazo zilikuwa zikienea Kwenye mitandao ya kijamii kwamba imeandaa maandamano.

Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Yanga kupitia Ukurasa rasmi wa Istagram imewaomba Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga kupuuzia taarifa hiyo na kuwataka kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho uongozi unaendelea kufanya jitihada za kushughulikia masuala yote yanayohusu Klabu kwa misingi na taratibu zilizowekwa kisheria.


Taarifa hiyo ambayo ilikuwa inasambaa leo Aprili 6 ilikuwa inaelezwa namna hii:-


7 COMMENTS:

  1. Uzushi huu kwa faida ya nani. Wadai tujikite kuendeleza soka sio kutengeneza mafekile, hayasaidii nchi yetu kisoka

    ReplyDelete
  2. Matamko yasiyokwisha kila kukisha

    ReplyDelete
  3. Kuna mjinga aliandika hii barua wakamruka.

    ReplyDelete
  4. Ifike muda tuache ujinga unaandamana ili iweje watu tunataka timu zicheze mpira mnafeli wap uto chezeni mpira wa kweli acheni kutapatapa

    ReplyDelete
  5. Mpira wa bongo umekuwa ni wa kisiasa propaganda nyingiii ina wezekena hiyo iliandaliwa na upande wa pili ili kuivuruga tu Yanga ninaimani hakuna maandamano na tuacha Yanga iendeleee.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic