KLABU ya Yanga leo Aprili 21 imeingia kwenye mkataba wa makubaliano ya ushirikiano na Klabu ya Raja Club Athletic ya nchini Morocco.
Ushirikiano huu ambao wameingia Yanga utahusisha masuala mbalimbali ya maendeleo baina ya klabu hizi mbili zenye historia kubwa Barani Afrika.
Klabu ya Raja kwa sasa ipo ardhi ya Bongo ambapo leo ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC, Uwanja wa Mkapa.
Ikiwa ipo hatua ya makundi imeshinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Namungo na kusepa na pointi tatu mazima.
Inakuwa ni klabu ya pili kwa Tanzania kuingia makubaliano ya ushirikiano na Raja kwa kuwa tayari Namungo ambayo ipo hatua ya makundi kwenye kundi D ilishakubaliana kushirikiana na timu hiyo katika masuala mbalimbali.
Si waende huko morocco? Wanasubiri waletewe na namungo ndio wapate urafiki
ReplyDeleteUmeonaa wanapenda vya bure sana hawajamaa
DeleteURAFIKI WAKUOMBA USHAURI HUO, UNADHANI KUNA KITU KINGINE?
ReplyDeleteYanga haina historia yoyote kubwa afrika, inashindwa hadi na Namungo
ReplyDeleteUnaongea kiushabiki wakati hujui lolote
DeleteElezea historia yao kubwa afrika ni ipi labda ile ya viongozi wenu kuhonga waamuzi kwenye michuano ya klabu bingwa mpaka wakafungiwa
DeleteUkizaa mtoto akapenda Simba anangoja ufe arithi mali cse akili ilipotea na always wanazaliwa Baba akifanya mapenzi na make hajajipanga vizuri.
ReplyDeleteUlizaliwa lini na uka barehe lini ili ujue historian na zaidi muulize babako kifupi tumechoka na akili za bodaboda,bajaji w,debe kujifanya wanajua
ReplyDeleteUtopolo kazi kusaini mikataba yakuombea misaada tu na misaada yenyewe hatahawapewi Kama wanavyoyaka*mbata anawadanganya tu Kila siku* endeleeni kusaini Wanaume wanatusua
ReplyDeleteUshiriakiano na Sevilla uliozinduliwa kwa mbwembwe uliishia wapi kabla ya kuanza huu wa Raja Casablanca?
ReplyDelete